Kweli siku mwaka!
Haya tunayoyona sasa hivi tusingeweza kudhania yanaweza tokea miezi mitatu tu iliyopita.
Kuna watu waiofaidika na utawala wa Magufuli bado wako i a state of shock!
Wana pinga kila kitu!
Hata ule utu na ustaarabu anaoonyesha Mama Samia katika hotuba zake, bado wanapinga!
Eti yuko dhaifu!!
Wana sahau kuwa alisema pale Mwanza yeye ni Rais wa Tanzania!
Na juzi karudia Ukimzingua, mta zinguana!
Wana sahau kuwa madaraka ya Mama Samia ni yale yale aliyokuwa anayo Magufuli!
Lakini sasa we have a human face na Mama anakwambia , naomba lishughulikie jambo fulani---wanasahau kuwa THATS AN ORDER!
Mabya zaidi kuna wale waliofaidika kwa wizi, unyang'anyi, uporaji na hataleo wako katika idara mbali mbali za UWT, TRA, Polisi , TCRA na idara nyingi zilizotumika kama instruments of oppression, Mama ana kazi ya kuwachunguza na kuwastaafisha kwa manufaa ya nchi na ustawi wake.
Viva Mama Samia.