Rais Samia kuwa makini! Kuna genge linakuandama ili uharibu

Wanata waambiwe mimi ni nasumu wakati sumu huna
 
Huwezi kuweka mifumo ya kiuongozi vizuri huku ukijua kabisa kwamba hujitoshelezi kifedha, lazima uache mianya ya Presidential discretion linapokuja swala la kugawa keki ambayo unajua haitoshi.

Unaweka mazingira ya huyu mpe, yule mruke.
Hayo mazingira si unaona Rais akitumia mamlaka yake yanakuwa Mambo ya ukabila na hivi mifumo ikiwekwa mifukoni ka bunge na judiciary system.
 
Labda tuonayo na kusikia ndio maana ya 'kuzinguana'.
 
Ni sawa na kusema wanaoshangilia utawala wa mama wanafaidika nao chamsingi tuungane kujenga nchi hakuna haja ya kunyoosheana vidole
Tunafaidika na ukweli, uwazi na haki.
Huku tukipinga wizi wa wazi uliokuwa unatekelezwa na serikali kupitia TRA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…