Rais Samia kuwa makini na Rais Paul Kagame

Rais Samia kuwa makini na Rais Paul Kagame

SOPINTO

Senior Member
Joined
Oct 19, 2020
Posts
155
Reaction score
387
Majira haya ya asubuhi hii Rais Samia yupo safarini kuelekea Kigali Rwanda kwa mwaliko wa siku mbili na mwenyeji wake Paul Kagame (PK), nakumbuka JPM alipoingia tu madarakani alijenga sana urafiki na PK lakini baada ya muda mfupi tu urafiki wao ukaingia mchanga na vumbi baada ya hapo huyu PK akawa haji tena Tanzania na JPM aendi tena huko anapoenda SHH, navyojua mimi kwa haraka haraka PK ni mzee wa fursa sana hawezi kujenga urafiki na wewe pasipo na faida, ni jasusi mkubwa wa kiuchumi.

Walipishana sana na JK kutokana na JK kushtukia huyu mtu anataka vitu ambavyo haviwezekaniki mathalani mtu anakuambia niachie bandari hii alafu ushuru na tozo nitalipa kwa asilimia 70 alafu asilimia 30 itaingia katika serikali ya Rwanda, JK alishtukia mchezo wakatemana baada ya kuona kuwa katika urafiki kuna mmoja ni chawa wa uchumi.

Sasa naona Samia Suluhu nae kaliunga huko huko Rwanda, yetu macho tusubirie tu mana mda utatuambia kama ulivyotuambia katika enzi za mwendazake leo ni tarehe 2/8/2021.
 
SSH doing what she can do best..kuruka na mwewe..

Hivi kwanini Rwanda tunawaogopa sana?..ina maana inteligensia yetu itaruhusu Mama awe manipulated na huyu Slim bila kumwambia Mama hapa unaingia chaka?..

Labda kama mama naye ni mbabe na hasikilizi vyombo vyetu vya ushauri.
 
Asije pigwa maana huyu ticha kwa kutafuna Mihogo ya wanafunzi wake ajambo
 
Majira haya ya asubuhi hii RaiS Samia yupo safarini kuelekea Kigali Rwanda kwa mwaliko wa siku mbili na mwenyeji wake Paul Kagame (PK) , nakumbuka JPM alipoingia tu madarakani alijenga sana urafiki na PK lakini baada ya muda mfupi tu urafiki wao ukaingia mchanga na vumbi baada ya hapo huyu PK akawa haji tena Tanzania na JPM aendi tena huko anapoenda SHH...
Kuna tetesi eti kagame anataka kupeleka askari wake kusaidia kupambana na waasi kaskazini mwa nchi hiyo. Kwanza askari wake ni wa ovyo tu wanajua kuua tu na kuiba.

Kagame ni mtu wa fulsa tu huko wataiba madini na kupiga dili na wafaransa kuhusu gesi ya msumbiji. Isitoshe wanaweza sambaza vurugu hadi kusini mwa tanzania.

Ona congo wamefanya nini. Kuna wakati kabila aliwaomba wamsaidie. Kilichotokea ni kuongezeka vurugu tu maana wao ndio waliyokua wanasponsa uasi kuingiza watutsi kuiba madini na kuandaa kuunda dola ya banyamulenge mashariki mwa rwanda.

Kwa ufupi samia awe macho na makubaliano yoyote ya wazi au siri na kagame.
 
Kuna tetesi eti kagame anataka kupeleka askari wake kusaidia kupambana na waasi kaskazini mwa nchi hiyo. Kwanza askari wake ni wa ovyo tu wanajua kuua tu na kuiba...
Huo mtego cha kike
 
FB_IMG_16278848792698690.jpg
 
Majira haya ya asubuhi hii RaiS Samia yupo safarini kuelekea Kigali Rwanda kwa mwaliko wa siku mbili na mwenyeji wake Paul Kagame (PK) , nakumbuka JPM alipoingia tu madarakani alijenga sana urafiki na PK lakini baada ya muda mfupi tu urafiki wao ukaingia mchanga na vumbi baada ya hapo huyu PK akawa haji tena Tanzania na JPM aendi tena huko anapoenda SHH...
Breaking News: MOTO MKUBWA WATEKETEZA MITAMBO YA UMEME ILIYOPO MSAMVU MOROGORO

Moto mkubwa waunguza na kuteketeza kituo kikubwa cha mitambo ya kupokea, kupoza na kusambaza Umeme kuelekea Mikoa ya Morogoro, Dar es salaam, Tanga na Kilimanjaro

Moto huo bado haujazimika hadi sasa
 
Lile Mama la kambo halina akili,linazunguka tu hapa Afrika mashariki utafikiri kuwa dunia ni Afrika mashariki peke yake.She is clown.
Sasa kumzungumzia mtu vibaya hivyo ndio kisa ni rais hivyo una uhuru wa kumsema utakavyo? unamwita mwenzio limama la kambo ndio nini sasa?
 
Pole alitoa na pia waliomboleza for 7 days..labda useme yeye kutokuja kuzika..kitu ambacho hata Babu Museven alikifanya.
Sikujua mkuu.walifanya sawa kumbe. Haya mazingira sio ya kukusanyika.hata mie hapa kwa wanazengo Kama huwa siendi Mana mazingira sio rafiki kwanza
 
Back
Top Bottom