Rais Samia kuwa makini na Rais Paul Kagame

Rais Samia kuwa makini na Rais Paul Kagame

Sasa kumzungumzia mtu vibaya hivyo ndio kisa ni rais hivyo una uhuru wa kumsema utakavyo? unamwita mwenzio limama la kambo ndio nini sasa?
Sasa mtu kama huyu unataka nimpe sifa?Mtu kama huyu unataka nimweshimu?Kwa nini nimpe heshima mtu kama huyu?

Ameninyang'anya haki zangu za kidemokrasia na za kikatiba waziwazi tena kwa ubabe bila hata kuogopa wala kuwa na aibu halafu unataka nimheshimu?Umechanganyikiwa?!
7nbv654311.jpg
 
SSH doing what she can do best..kuruka na mwewe..

Hivi kwanini Rwanda tunawaogopa sana?..ina maana inteligensia yetu itaruhusu Mama awe manipulated na huyu Slim bila kumwambia Mama hapa unaingia chaka?..

Labda kama mama naye ni mbabe na hasikilizi vyombo vyetu vya ushauri.
Intelligensia ipi hiyo tulionayo? Hiyo ya kushika kina mbowe na kubambika kesi za ugaidi au? Ni hiyo ya kuyumbishwaa na chanjo? Kwamba leo hazifai kesho zinafaa..
Hii nchi inajiendesha yenyewee.
 
Majira haya ya asubuhi hii Rais Samia yupo safarini kuelekea Kigali Rwanda kwa mwaliko wa siku mbili na mwenyeji wake Paul Kagame (PK) , nakumbuka JPM alipoingia tu madarakani alijenga sana urafiki na PK lakini baada ya muda mfupi tu urafiki wao ukaingia mchanga na vumbi baada ya hapo huyu PK akawa haji tena Tanzania na JPM aendi tena huko anapoenda SHH , navyojua mimi kwa haraka haraka PK ni mzee wa fursa sana hawezi kujenga urafiki na wewe pasipo na faida , ni jasusi mkubwa wa kiuchumi.

Walipishana sana na JK kutokana na JK kushtukia huyu mtu anataka vitu ambavyo haviwezekaniki mathalani mtu anakuambia niachie bandari hii alafu ushuru na tozo nitalipa kwa asilimia 70 alafu asilimia 30 itaingia katika serikali ya Rwanda, JK alishtukia mchezo wakatemana baada ya kuona kuwa katika urafiki kuna mmoja ni chawa wa uchumi.

Sasa naona Samia Suluhu nae kaliunga huko huko Rwanda , yetu macho tusubirie tu mana mda utatuambia kama ulivyotuambia katika enzi za mwendazake leo ni tarehe 2/8/2021.
Kapeleka majeshi yake Msumbiji jimbo lenye utajiri mkubwa wa mafuta keshachungulia fursa[emoji1011]
 
Sasa mtu kama huyu unataka nimpe sifa?Mtu kama huyu unataka nimweshimu?Kwa nini nimpe heshima mtu kama huyu?

Ameninyang'anya haki zangu za kidemokrasia na za kikatiba waziwazi tena kwa ubabe bila hata kuogopa wala kuwa na aibu halafu unataka nimheshimu?Umechanganyikiwa?!View attachment 1877119
Ndio maana nikakuuliza unamwita hivyo kwa sababu ni rais hivyo una haki ya kumwita utakavyo? kwa sababu katika hali ya kawaida mtu kukusokea jambo fulani hakukupi haki wewe kumtukana,kumsema vibaya au kumvunjia heshima huyo mtu. Kama Samia amekukosea basi pia ulichofanya wewe ni kosa vilevile.
 
SSH doing what she can do best..kuruka na mwewe..

Hivi kwanini Rwanda tunawaogopa sana?..ina maana inteligensia yetu itaruhusu Mama awe manipulated na huyu Slim bila kumwambia Mama hapa unaingia chaka?..

Labda kama mama naye ni mbabe na hasikilizi vyombo vyetu vya ushauri.
Alishaanza ubabe mwenyewe kwani anaogopa sana KATIBA BORA, DALILI zote zaonyesha kuwa kule anaenda kuwekwa WAKFU.
 
Ndio maana nikakuuliza unamwita hivyo kwa sababu ni rais hivyo una haki ya kumwita utakavyo? kwa sababu katika hali ya kawaida mtu kukusokea jambo fulani hakukupi haki wewe kumtukana,kumsema vibaya au kumvunjia heshima huyo mtu. Kama Samia amekukosea basi pia ulichofanya wewe ni kosa vilevile.
Unajua tofauti kati ya kumtukana mtu na kuongelea facts juu ya mtu?Hivi kwa mfano kama kuna mwizi ameiba simu kisha baadae akapita kwenye eneo langu kisha nikawaambia watu kuwa kibaka amepita hapa, nitakuwa nimemtukana huyo mwizi wa simu kwa kumwita kibaka?

Mimi simtukani Mama bali namwita majina ambayo ni stahili yake kwa sababu mtu ambae anaweza kutangazia uma waziwazi tena bila aibu kuwa ni mwizi wa demokrasia yetu huyo sio punguani?Unataka mtu kama huyo nimwite kuwa ni mwerevu?
 
Umemwita "Li mama la kambo" sasa unaweza kuniambia hayo aliyafanya Samia yanaendana vp na kumwita mama wa kambo? tena umetumia kauli ya "Li mama".
 
PK ni akili kubwa, na kamwe huwezi mfananisha kwa namna yoyote ile na huyo mama yenu kilaza, huo ni mkweli mchunguu tulieni uwaiingie….
 
Umemwita "Li mama la kambo" sasa unaweza kuniambia hayo aliyafanya Samia yanaendana vp na kumwita mama wa kambo? tena umetumia kauli ya "Li mama".
Mkuu unafanya mzahaa na mimi badala ya kubishana kwa hoja na unanichoosha!

Sasa mwanamke ambae ni Mama mzuri wa Taifa anaweza kuwa kibaka wa kupora demokrasia ya watu waziwazi tena kwa kutapa mbele za watu?!Unataka kibaka wa kike ambae anapora demokrasia ya watu nimwite kuwa ni Mama mzuri?!

Unahitaji kuwa na PhD kuelewa vitu vidogo namna hii?WTF!!!
 
JPM alipoona pk siyo mwema alikacha urafiki haraka Sana!

Huyu mama hawezi kuendana na hili gaidi la kitutsi. Aache kabisa kujisogeza kwa hili jamaa.
 
Rwanda ni nchi jirani.
Vyovyote iwavyo ni lazima tujenge mahusiano mema na majirani.
Maana unaweza kuchagua rafiki, huwezi kuchagua jirani.
Mapungufu aliyonayo PK siyo kigezo cha kulitenga taifa hilo.
 
Lile Mama la kambo halina akili,linazunguka tu hapa Afrika mashariki utafikiri kuwa dunia ni Afrika mashariki peke yake.She is clown.
Hahaha, nyie jamaa vilaza sana, mlikuwa mnasema JPM hatoki nje, now mnalaumu Samia kutoka nje, hamjui hata mnataka nini
 
Piga kazi Samia, na huyu gaidi tunampa 20 years, tumemvumilia sana, sasa ni muda wake apate anachostahili
 
Hahaha, nyie jamaa vilaza sana, mlikuwa mnasema JPM hatoki nje, now mnalaumu Samia kutoka nje, hamjui hata mnataka nini
Unawazungumzia watu au unanizungumzia mimi?Yaani maoni ya watu wengine huko unaforce na kusukumizia kuwa yawe ni maoni yangu?Lini nililaumu kuwa JPM hatoki nje?Halafu wapi nimelaum Samia kutoka nje?
 
Back
Top Bottom