Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Sasa mtu kama huyu unataka nimpe sifa?Mtu kama huyu unataka nimweshimu?Kwa nini nimpe heshima mtu kama huyu?Sasa kumzungumzia mtu vibaya hivyo ndio kisa ni rais hivyo una uhuru wa kumsema utakavyo? unamwita mwenzio limama la kambo ndio nini sasa?
Intelligensia ipi hiyo tulionayo? Hiyo ya kushika kina mbowe na kubambika kesi za ugaidi au? Ni hiyo ya kuyumbishwaa na chanjo? Kwamba leo hazifai kesho zinafaa..SSH doing what she can do best..kuruka na mwewe..
Hivi kwanini Rwanda tunawaogopa sana?..ina maana inteligensia yetu itaruhusu Mama awe manipulated na huyu Slim bila kumwambia Mama hapa unaingia chaka?..
Labda kama mama naye ni mbabe na hasikilizi vyombo vyetu vya ushauri.
Kapeleka majeshi yake Msumbiji jimbo lenye utajiri mkubwa wa mafuta keshachungulia fursa[emoji1011]Majira haya ya asubuhi hii Rais Samia yupo safarini kuelekea Kigali Rwanda kwa mwaliko wa siku mbili na mwenyeji wake Paul Kagame (PK) , nakumbuka JPM alipoingia tu madarakani alijenga sana urafiki na PK lakini baada ya muda mfupi tu urafiki wao ukaingia mchanga na vumbi baada ya hapo huyu PK akawa haji tena Tanzania na JPM aendi tena huko anapoenda SHH , navyojua mimi kwa haraka haraka PK ni mzee wa fursa sana hawezi kujenga urafiki na wewe pasipo na faida , ni jasusi mkubwa wa kiuchumi.
Walipishana sana na JK kutokana na JK kushtukia huyu mtu anataka vitu ambavyo haviwezekaniki mathalani mtu anakuambia niachie bandari hii alafu ushuru na tozo nitalipa kwa asilimia 70 alafu asilimia 30 itaingia katika serikali ya Rwanda, JK alishtukia mchezo wakatemana baada ya kuona kuwa katika urafiki kuna mmoja ni chawa wa uchumi.
Sasa naona Samia Suluhu nae kaliunga huko huko Rwanda , yetu macho tusubirie tu mana mda utatuambia kama ulivyotuambia katika enzi za mwendazake leo ni tarehe 2/8/2021.
Ndio maana nikakuuliza unamwita hivyo kwa sababu ni rais hivyo una haki ya kumwita utakavyo? kwa sababu katika hali ya kawaida mtu kukusokea jambo fulani hakukupi haki wewe kumtukana,kumsema vibaya au kumvunjia heshima huyo mtu. Kama Samia amekukosea basi pia ulichofanya wewe ni kosa vilevile.Sasa mtu kama huyu unataka nimpe sifa?Mtu kama huyu unataka nimweshimu?Kwa nini nimpe heshima mtu kama huyu?
Ameninyang'anya haki zangu za kidemokrasia na za kikatiba waziwazi tena kwa ubabe bila hata kuogopa wala kuwa na aibu halafu unataka nimheshimu?Umechanganyikiwa?!View attachment 1877119
Alishaanza ubabe mwenyewe kwani anaogopa sana KATIBA BORA, DALILI zote zaonyesha kuwa kule anaenda kuwekwa WAKFU.SSH doing what she can do best..kuruka na mwewe..
Hivi kwanini Rwanda tunawaogopa sana?..ina maana inteligensia yetu itaruhusu Mama awe manipulated na huyu Slim bila kumwambia Mama hapa unaingia chaka?..
Labda kama mama naye ni mbabe na hasikilizi vyombo vyetu vya ushauri.
...Mama yupo vizuri kwenye kuzungusha jicho tu..
Kichwani mweupe kabisa..
A default President...not a merit one.
Unajua tofauti kati ya kumtukana mtu na kuongelea facts juu ya mtu?Hivi kwa mfano kama kuna mwizi ameiba simu kisha baadae akapita kwenye eneo langu kisha nikawaambia watu kuwa kibaka amepita hapa, nitakuwa nimemtukana huyo mwizi wa simu kwa kumwita kibaka?Ndio maana nikakuuliza unamwita hivyo kwa sababu ni rais hivyo una haki ya kumwita utakavyo? kwa sababu katika hali ya kawaida mtu kukusokea jambo fulani hakukupi haki wewe kumtukana,kumsema vibaya au kumvunjia heshima huyo mtu. Kama Samia amekukosea basi pia ulichofanya wewe ni kosa vilevile.
Umemwita "Li mama la kambo" sasa unaweza kuniambia hayo aliyafanya Samia yanaendana vp na kumwita mama wa kambo? tena umetumia kauli ya "Li mama".Unajua tofauti kati ya kumtukana mtu na kuongelea facts juu ya mtu?Hivi kwa mfano kama kuna mwizi ameiba simu kisha baadae akapita kwenye eneo langu kisha nikawaambia watu kuwa kibaka amepita hapa, nitakuwa nimemtukana huyo mwizi wa simu kwa kumwita kibaka?
Mimi simtukani Mama bali namwita majina ambayo ni stahili yake kwa sababu mtu ambae anaweza kutangazia uma waziwazi tena bila aibu kuwa ni mwizi wa demokrasia yetu huyo sio punguani?Unataka mtu kama huyo nimwite kuwa ni mwerevu?
Mkuu unafanya mzahaa na mimi badala ya kubishana kwa hoja na unanichoosha!Umemwita "Li mama la kambo" sasa unaweza kuniambia hayo aliyafanya Samia yanaendana vp na kumwita mama wa kambo? tena umetumia kauli ya "Li mama".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Kufa kwa jamaa ni heri, haikutakiwa faraja bali ni pongeziDuuu pk hajatupa pole tulipofiwa na baab yetu JPM jamani. Mnafikilo
Hahaha, nyie jamaa vilaza sana, mlikuwa mnasema JPM hatoki nje, now mnalaumu Samia kutoka nje, hamjui hata mnataka niniLile Mama la kambo halina akili,linazunguka tu hapa Afrika mashariki utafikiri kuwa dunia ni Afrika mashariki peke yake.She is clown.
Unawazungumzia watu au unanizungumzia mimi?Yaani maoni ya watu wengine huko unaforce na kusukumizia kuwa yawe ni maoni yangu?Lini nililaumu kuwa JPM hatoki nje?Halafu wapi nimelaum Samia kutoka nje?Hahaha, nyie jamaa vilaza sana, mlikuwa mnasema JPM hatoki nje, now mnalaumu Samia kutoka nje, hamjui hata mnataka nini
Pamoja. Hatuwezi fananaKufa kwa jamaa ni heri, haikutakiwa faraja bali ni pongezi