Ccm si wanapenda watu wa aina hiyo wanaoita wengine marofaHuyu mzee anashida kichwani raisi hakuwa makini kumteua
Kasema yeye sio bodi, yeye ni injini, hivyo basi ana gia boksi na gia ya rivasi. Muda wowote anaingiza rivasi1995 alihama CHAMA chake cha ccm baada ya kushindwa kwenye kura za maoni dhidi ya warioba na kuhamia NCCR MAGEUZI.
Lakini pia akafanya figisu huko ikaonekana akishinda ubunge kwa njia Rushwa hivyo mahakama kuu, ikapokonya ubunge wake.
NB: Huyu wasira ni kigeugeu kuwa nae makini kama aliweza kuhama CHAMA chake kwa ssb ya kupata madaraka, bila shaka anaweza pia kukugeuka katikati ya mapambano. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Na mm hilo nimeliona, mzee angejikita kwenye hoja, aachane na matusi, kashfa na mihemkoHiyo si issue.
Sema ana matusi, matusi si sera hapo ndo atapoteza
Anasema injini yake bado inadai.....ila kosa analolifanya ni kutengeneza uadui kwa maneno ya kashfa kwa chama kimoja tu badala ya kueneza policies za chama chake, inasikitisha sanaa
Anasema injini yake bado inadai.....ila kosa analolifanya ni kutengeneza uadui kwa maneno ya kashfa kwa chama kimoja tu badala ya kueneza policies za chama chake, inasikitisha shana
Hana hekima na busara, hana uwezo wa kuchagua maneno kulingana na mazingiraSema Wasira anamaneno machafu kinoma juzi niliangalia video flan anaongea niliishia kuskip tu maana anaongea pumba tupu
Wote wawili wana utata, tazama unamuingiza mwenye 80 kwenye nafasi aliyostaafu mwenye 70s1995 alihama CHAMA chake cha ccm baada ya kushindwa kwenye kura za maoni dhidi ya warioba na kuhamia NCCR MAGEUZI.
Lakini pia akafanya figisu huko ikaonekana akishinda ubunge kwa njia Rushwa hivyo mahakama kuu, ikapokonya ubunge wake.
NB: Huyu wasira ni kigeugeu kuwa nae makini kama aliweza kuhama CHAMA chake kwa ssb ya kupata madaraka, bila shaka anaweza pia kukugeuka katikati ya mapambano. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Kama ni injini basi ni old model. Atawezana na hizi za kisasa?Anasema injini yake bado inadai.....ila kosa analolifanya ni kutengeneza uadui kwa maneno ya kashfa kwa chama kimoja tu badala ya kueneza policies za chama chake, inasikitisha sana
Hata sura ni ya kigeu geu1995 alihama CHAMA chake cha ccm baada ya kushindwa kwenye kura za maoni dhidi ya warioba na kuhamia NCCR MAGEUZI.
Lakini pia akafanya figisu huko ikaonekana akishinda ubunge kwa njia Rushwa hivyo mahakama kuu, ikapokonya ubunge wake.
NB: Huyu wasira ni kigeugeu kuwa nae makini kama aliweza kuhama CHAMA chake kwa ssb ya kupata madaraka, bila shaka anaweza pia kukugeuka katikati ya mapambano. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Ishu ya sura haina mantiki sana, jadili hoja.Hata sura ni ya kigeu geu