Rais Samia kuwa makini sana na Stephen wasira ni kigeugeu sana

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
1,530
Reaction score
1,903
1995 alihama CHAMA chake cha ccm baada ya kushindwa kwenye kura za maoni dhidi ya warioba na kuhamia NCCR MAGEUZI.
Lakini pia akafanya figisu huko ikaonekana akishinda ubunge kwa njia Rushwa hivyo mahakama kuu, ikapokonya ubunge wake.
NB: Huyu wasira ni kigeugeu kuwa nae makini kama aliweza kuhama CHAMA chake kwa ssb ya kupata madaraka, bila shaka anaweza pia kukugeuka katikati ya mapambano. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
 
Kasema yeye sio bodi, yeye ni injini, hivyo basi ana gia boksi na gia ya rivasi. Muda wowote anaingiza rivasi
 
Anasema injini yake bado inadai.....ila kosa analolifanya ni kutengeneza uadui kwa maneno ya kashfa kwa chama kimoja tu badala ya kueneza policies za chama chake, inasikitisha sana
 
Sema Wasira anamaneno machafu kinoma juzi niliangalia video flan anaongea niliishia kuskip tu maana anaongea pumba tupu
 
Hs
Anasema injini yake bado inadai.....ila kosa analolifanya ni kutengeneza uadui kwa maneno ya kashfa kwa chama kimoja tu badala ya kueneza policies za chama chake, inasikitisha sanaa

Anasema injini yake bado inadai.....ila kosa analolifanya ni kutengeneza uadui kwa maneno ya kashfa kwa chama kimoja tu badala ya kueneza policies za chama chake, inasikitisha shana

Sema Wasira anamaneno machafu kinoma juzi niliangalia video flan anaongea niliishia kuskip tu maana anaongea pumba tupu
Hana hekima na busara, hana uwezo wa kuchagua maneno kulingana na mazingira
 
Anasema injini yake bado inadai.....ila kosa analolifanya ni kutengeneza uadui kwa maneno ya kashfa kwa chama kimoja tu badala ya kueneza policies za chama chake, inasikitisha sana
Hana sera eti yeye ni mzee wa propaganda
 
1995 alihama CHAMA chake cha ccm baada ya kushindwa kwenye kura za maoni dhidi ya warioba na kuhamia NCCR MAGEUZI.
Lakini pia akafanya figisu huko ikaonekana akishinda ubunge kwa njia Rushwa hivyo mahakama kuu, ikapokonya ubunge wake.
NB: Huyu wasira ni kigeugeu kuwa nae makini kama aliweza kuhama CHAMA chake kwa ssb ya kupata madaraka, bila shaka anaweza pia kukugeuka katikati ya mapambano. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Wote wawili wana utata, tazama unamuingiza mwenye 80 kwenye nafasi aliyostaafu mwenye 70s
 
Anasema injini yake bado inadai.....ila kosa analolifanya ni kutengeneza uadui kwa maneno ya kashfa kwa chama kimoja tu badala ya kueneza policies za chama chake, inasikitisha sana
Kama ni injini basi ni old model. Atawezana na hizi za kisasa?
 
1995 alihama CHAMA chake cha ccm baada ya kushindwa kwenye kura za maoni dhidi ya warioba na kuhamia NCCR MAGEUZI.
Lakini pia akafanya figisu huko ikaonekana akishinda ubunge kwa njia Rushwa hivyo mahakama kuu, ikapokonya ubunge wake.
NB: Huyu wasira ni kigeugeu kuwa nae makini kama aliweza kuhama CHAMA chake kwa ssb ya kupata madaraka, bila shaka anaweza pia kukugeuka katikati ya mapambano. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Hata sura ni ya kigeu geu
 
Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom