Rais Samia kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Chuo cha Uongozi Mwalimu Julius Nyerere

Rais Samia kuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Chuo cha Uongozi Mwalimu Julius Nyerere

Rais Samia Kesho Jumatano atafungua ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Julius Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani.
Ujenzi phase ya ngapi mbona kuna uzi hapa unaonesha kimekamilika

 
Hiki ni chuo cha CCM chenye lengo la kuwanoa viongozi wa chama kama ilivyokuwa miaka ya nyuma kwa hiyo tunatarajia darasa la mwanzo kabisa kuanza 2022 kitakapokamilika, amesema.
Watanzania tutaiva ila nyuma ya pazia uadilifu umebaki historia
 
Back
Top Bottom