Rais Samia kuwa mgeni rasmi Mkutano wa Vyama vya Siasa - Desemba 16

CHADEMA CHADEMA CHADEMA nyinyi mkutano huu hauwahusu kwa sababu shughuli za kisiasa hazipo nchini kwa mabavu ya dola na chama dola.
Mnyika Katibu Mkuu CHADEMA huu mkutano hauihusu CHADEMA wacha wakutane wanaohusika.
Ajenda zote ni OTP. Wapi maridhiyano, wapi katiba mpya, wapi tabia chafu ya vyombo vya dola kubambikia watu kesi, vipi wabunge wasi na chama kuwepo bungeni, wapi tamko la mauaji na dhulma wakati wa uchaguzi uchafusi?
 
Hili neno "AWAMU YA 6" ni lugha tu ya KISIASA na ni MWAMVULI wa kujifichia ili kuepuka JOTO KALI la kisiasa na kukwepa UWAJIBIKAJI. Serikali ya sasa INAMALIZIA ile miaka 5 ya Hayati JPM, lkn Viongozi ni WALE WALE! Tuache PROPAGANDA zisizo na MASHIKO. Kukubali MAKOSA siyo UDHAIFU.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la vyama vya siasa nchini mh Khatib amesema mkutano wa Vyama vya siasa, Msajili na IGP utafanyika Disemba 16 na 17 2021 na mgeni rasmi atakuwa Rais Samia.

Aidha Khatibu amezionya taasisi za nje kuacha mara moja kuingilia siasa za ndani za Tanzania.

Naye mwenyekiti mkongwe kupita wote wa vyama vya siasa mzee John Momose Cheyo amesema mambo ya maandamano yamepitwa na wakati ni kama ushamba vile

Source: ITV habari
 
Hakna mitu hapo
 
Ni kwenda kupotezeana muda kwenye huo mkutano. Hata Rais akiwepo atakwenda kama mgeni rasmi na kuzindua kisha atahutubia na kuondoka. Hakutakuwa na majadiliano yoyote ya maana. Na sana sana rais ametajwa ili cdm washiriki, lakini sidhani kama atakuwepo bali atatuma muwakilishi. Cdm kushiriki huo mkutano ni kwenda kutakatisha agenda za kihuni za CCM.
 
Wasemaji wakuu wa mkutano wa vyama vya siasa wanatoka TLP, AFP na UDP?
 
J J Mnyika pia ataongea.

Tundu Lisu ataunganishwa kwa mtandao!
Halima Mdee na Bulaya nao wataongea madudu yote ya CDM. Hao wazungu watatuelewa tu kwamba sisi ni nchi huru. Kama ambavyo sisi hatuwaingilii kwenye siasa zao za kutwangana miti aka mwanaume kumfanya mwanamume mwenzake, nao hawana moral authority kwenye siasa zetu. We are both equal, wapende wasipende.
 
Kwa hiyo mkutano wa vyama vyote vya siasa, halafu mgeni rasmi ni Mwenyekiti wa chama kimojawapo?

Nchi hii ngumu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…