- Thread starter
- #81
Ukoloni za fikra Congo ndiyo chanzo cha vita wasitoielewa raia wa Congo, bila ukombozi wa kifikra ... hakuna amani
View: https://m.youtube.com/watch?v=G-FpzODNJv8
View: https://m.youtube.com/watch?v=G-FpzODNJv8
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😲😲😲Kwa hiyo barabara zitafungwa tena DSM!
Kama vipi PK akitokea Dar afanyiwe umafia uleule wa mtangulizi wake Habyarimana!
🤔 🤔 🤔Huo mkutano wawe makini kuna watu watanyunyiziwa sumu kama ilivyotokea kimakosa kwa Dr. Omary Ali Juma
🤣 🤣 🤣Kagame asiwekwe siti ya karibu na Ramaphosa wanaweza pigana ngumi live wale
03 February 2025
Dar es Salaam, Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan amekubali kwa ukarimu kuandaa mkutano huo kujadili hali ya Mashariki mwa DRC
Dar es salaam kupokea marais wa nchi za sadc na eac kujadili mgogoro wa nchi ya dr congo
Mkutano wa pamoja wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) utafanyika Ijumaa na Jumamosi kuhusu mzozo wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Hii inafuatia makubaliano kati ya Mwenyekiti wa SADC Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe na Mwenyekiti wa EAC Rais William Ruto wa Kenya.
"Rais Samia Suluhu Hassan amekubali kwa ukarimu kuandaa mkutano huo kujadili hali ya Mashariki mwa DRC," Rais Ruto alisema.
MORE INFO :
Baada ya M23 Kunyakua pande la jimbo la Kivu ya Kaskazini uliopo mji wa Goma na kuonekana kuelekea Kivu ya Kusini mjini wa Bukavu.
Marais wa kanda za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wale wa nchi za Kusini SADC wamependekeza pande mbili katika mgogoro wa ndani wa DR Congo wa kujongea katika meza ya mazungumzo kutafuta utatuzi wa kudumu
Pia soma
- Waasi wa M23 sasa waelekea mji wa Bukavu
A joint summit of the Southern African Development Community (SADC) and the East African Community (EAC) will take place in Dar es Salaam, Tanzania
View: https://m.youtube.com/watch?v=ImbnMrR2NXs
03 February 2025
Les présidents congolais Félix Tshisekedi et rwandais Paul Kagame doivent participer ce week-end en Tanzanie à un sommet régional extraordinaire sur la guerre dans l'est de la RD Congo.
Na huo ndo ulikuwa ukuu na hadhi ya Dar. Sijui kama DOM wana ubavu huo!Tanzania tusingekubali kuhost mkutano huo ili kulinda hadhi na heshima ya Nchi Kimataifa.
Ni vipi kama baada ya mkutano ndege ya Kedi na Rama zikapotea mawasiliano kwenye Rada?. Au ndege ya Kagame?.Nakumbuka ndege ya rais wa Rwanda na Burundi; hata ile ya Samora zilikuwa zinatokea Dar kwenye Mkutano
Luguma ndio nani?luguma awepo asee inamuhusu sana
03 February 2025
Dar es Salaam, Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan amekubali kwa ukarimu kuandaa mkutano huo kujadili hali ya Mashariki mwa DRC
Dar es salaam kupokea marais wa nchi za sadc na eac kujadili mgogoro wa nchi ya dr congo
Mkutano wa pamoja wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) utafanyika Ijumaa na Jumamosi kuhusu mzozo wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Hii inafuatia makubaliano kati ya Mwenyekiti wa SADC Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe na Mwenyekiti wa EAC Rais William Ruto wa Kenya.
"Rais Samia Suluhu Hassan amekubali kwa ukarimu kuandaa mkutano huo kujadili hali ya Mashariki mwa DRC," Rais Ruto alisema.
MORE INFO :
Baada ya M23 Kunyakua pande la jimbo la Kivu ya Kaskazini uliopo mji wa Goma na kuonekana kuelekea Kivu ya Kusini mjini wa Bukavu.
Marais wa kanda za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki na wale wa nchi za Kusini SADC wamependekeza pande mbili katika mgogoro wa ndani wa DR Congo wa kujongea katika meza ya mazungumzo kutafuta utatuzi wa kudumu
Pia soma
- Waasi wa M23 sasa waelekea mji wa Bukavu
A joint summit of the Southern African Development Community (SADC) and the East African Community (EAC) will take place in Dar es Salaam, Tanzania
View: https://m.youtube.com/watch?v=ImbnMrR2NXs
03 February 2025
Les présidents congolais Félix Tshisekedi et rwandais Paul Kagame doivent participer ce week-end en Tanzanie à un sommet régional extraordinaire sur la guerre dans l'est de la RD Congo.
Lugumi?luguma awepo asee inamuhusu sana
Hii ni fursa muhimu na adhimu kwa Rais Samia.
PK amehojiwa CNN
View: https://youtu.be/ZrlKvJ--pGo?si=IT2tjMdrZLLScJoz
Kwa hii ya PK, kwanye hili la DRC, mimi nasimama na PK, makamanda wake wanawasaidia M23 ili kulinda usalama wa Rwanda!. M23 ni watoto wa Banyamulenge wazaliwa wa eneo hilo, uwafukuze waende wapi wakati hapo ni kwao?.
Mkutano wa Jumamosi ni fursa adhimu kwa Rais Samia, kuirejesha The past Tanzania lost glory ya nchi ya upatanishi. Rais Samia kama Samia, she is not and has never been a negotiator kama alivyokuwa Nyerere, hivyo she needs a strong back up ya the negotiators, one of the best we have ni Prof. Kabudi!.
Hii sasa ndio fursa ya kweli kumpaisha na kumgarisha Rais Samia kimataifa kama mpatanishi wa kimataifa wa amani kwenye migogoro.
P