residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Mkuu una imani kuBwa katika miujiza. Hivi kweli unaamini huyu mama atashindwa uchaguzi au unaamini hatagombea?
Hii imani yako ni ole ya kuambia mlima kilimanjaro ukajitose baharini.
Amekwambia ulimi umekosea/umeteleza!!?Ulimi kukosea /kuteleza kukakufanya uanzishe uzi kabisa!, hoja za Chadema huwa ni za kitoto sana.
Kiroho imeisha hiyo...๐๐ฟChawa wa mama salamaaa?
Bwana Rais Samia akakosea kumuita waziri na kumuita Mh. Rais wakati anahutubia baada ya kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa mradi wa maji, Mkinga-Tanga.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sijawahi msikia Rais Samia akikosea hili hata mara moja, yaami mpaka ameweweseka kidogo kwa muda.
Kumbe moyoni anajua kabisa ameshayaaga mashindano mpaka subconscious automatically imemwambia sikia, wewe siyo Rais bana, safari hii mwingine atachukua kijiti na mkicheza vibaya wapinzani wanabeba ndoo๐๐๐
Chawa ukija na povu hakikisha umejipanga, usije ukafa kwa presha๐
Kinacho msumbua huyo mp**zi ni uraia wa mchongo na uraisi wa mchongo ajafitiChawa wa mama salamaaa?
Bwana Rais Samia akakosea kumuita waziri na kumuita Mh. Rais wakati anahutubia baada ya kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa mradi wa maji, Mkinga-Tanga.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sijawahi msikia Rais Samia akikosea hili hata mara moja, yaami mpaka ameweweseka kidogo kwa muda.
Kumbe moyoni anajua kabisa ameshayaaga mashindano mpaka subconscious automatically imemwambia sikia, wewe siyo Rais bana, safari hii mwingine atachukua kijiti na mkicheza vibaya wapinzani wanabeba ndoo๐๐๐
Chawa ukija na povu hakikisha umejipanga, usije ukafa kwa presha๐
Kwa hiyo amejiona amepwaya katika maongezi Aweso amemfunika?Chawa wa mama salamaaa?
Bwana Rais Samia akakosea kumuita waziri na kumuita Mh. Rais wakati anahutubia baada ya kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa mradi wa maji, Mkinga-Tanga.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Sijawahi msikia Rais Samia akikosea hili hata mara moja, yaami mpaka ameweweseka kidogo kwa muda.
Kumbe moyoni anajua kabisa ameshayaaga mashindano mpaka subconscious automatically imemwambia sikia, wewe siyo Rais bana, safari hii mwingine atachukua kijiti na mkicheza vibaya wapinzani wanabeba ndoo๐๐๐
Chawa ukija na povu hakikisha umejipanga, usije ukafa kwa presha๐
Mbowe ni mjumbe wa kamati kuu ya kudumu, so ni kiongozi ,kina shida gani sasa kwenye andiko tajwaNaona hata voice of America wameweka picha ya mbowe na wanamuita opposition leader kutoka chadema, wakati chechemela yupo,kukosea ni kawaida.
View attachment 3252062
Mkuu wasikilizeni wanaccm wenzenu achaneni na chawa.Ulimi hauna mfupa
Kama walimshindwa wajumbe pale Dodoma, hakuna mwingine wa kumuweza
Probability ya hilo kutokea ni 1 in a tillion. Hivyo kwa sasa ni sawa haliwezi kutokea.Duniani chochote kinawezekana.
Vipi iwapo mwenyekiti wa INEC akamtangaza Hashimu Rungwe kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya Urais wa JMT!!?
Ushindi au matokeo ya urais hayapingwi popote nikukumbushe, akishatangazwa ametangazwa!!
Si unajua Dola wanayo waoMkuu wasikilozeni wanaccm wenzenu achaneni na chawa.
Wanasema kilichofanyika pale ni sawa na Kiongozi kuwalazimisha wakulima walime zao ambalo halina mvuto wala biashara sokoni kisa tu analipenda yeye.
Tusubiri soko lifunguliwe Wakulima wayalete mazao yao. Tuone ni zao gani litaibuka kidedea jwa kutawala biashara sokoni.
Gentleman,Kujipa moyo? Mama yenu mwenyewe anajua safari hii ngomba ngumu๐๐๐ hata dalili za muujiza hazioni
mgh! kazi ipoChawa wa mama salamaaa?