Rais Samia kuyaaga mashindano kwenye kinyang'anyiro cha Urais? Kakosea na kumuita waziri Mh. Rais, apata kigugumizi

Duniani chochote kinawezekana.
Vipi iwapo mwenyekiti wa INEC akamtangaza Hashimu Rungwe kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya Urais wa JMT!!?

Ushindi au matokeo ya urais hayapingwi popote nikukumbushe, akishatangazwa ametangazwa!!
Mkuu una imani kuBwa katika miujiza. Hivi kweli unaamini huyu mama atashindwa uchaguzi au unaamini hatagombea?
Hii imani yako ni ole ya kuambia mlima kilimanjaro ukajitose baharini.
 
Chawa wa mama salamaaa?

Bwana Rais Samia akakosea kumuita waziri na kumuita Mh. Rais wakati anahutubia baada ya kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa mradi wa maji, Mkinga-Tanga.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Sijawahi msikia Rais Samia akikosea hili hata mara moja, yaami mpaka ameweweseka kidogo kwa muda.

Kumbe moyoni anajua kabisa ameshayaaga mashindano mpaka subconscious automatically imemwambia sikia, wewe siyo Rais bana, safari hii mwingine atachukua kijiti na mkicheza vibaya wapinzani wanabeba ndoo😂😂😂

Chawa ukija na povu hakikisha umejipanga, usije ukafa kwa presha😂
Kiroho imeisha hiyo...👌🏿
 
Kinacho msumbua huyo mp**zi ni uraia wa mchongo na uraisi wa mchongo ajafiti
 
"Chawa, ukija na povu hakikisha umejipanga… usije ukafutwa kazi kwa stress za kichwa cha mtu mwingine!" 😂😂🔥
 
Chawa wa mama salamaaa?

Bwana Rais Samia akakosea kumuita waziri na kumuita Mh. Rais wakati anahutubia baada ya kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa mradi wa maji, Mkinga-Tanga.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Sijawahi msikia Rais Samia akikosea hili hata mara moja, yaami mpaka ameweweseka kidogo kwa muda.

Kumbe moyoni anajua kabisa ameshayaaga mashindano mpaka subconscious automatically imemwambia sikia, wewe siyo Rais bana, safari hii mwingine atachukua kijiti na mkicheza vibaya wapinzani wanabeba ndoo😂😂😂

Chawa ukija na povu hakikisha umejipanga, usije ukafa kwa presha😂
Kwa hiyo amejiona amepwaya katika maongezi Aweso amemfunika?
 
Ulimi hauna mfupa

Kama walimshindwa wajumbe pale Dodoma, hakuna mwingine wa kumuweza
Mkuu wasikilizeni wanaccm wenzenu achaneni na chawa.

Wanasema kilichofanyika pale ni sawa na Kiongozi kuwalazimisha wakulima walime zao ambalo halina mvuto wala biashara sokoni kisa tu analipenda yeye.

Tusubiri soko lifunguliwe Wakulima wayalete mazao yao. Tuone ni zao gani litaibuka kidedea kwa kutawala biashara sokoni.
 
Duniani chochote kinawezekana.
Vipi iwapo mwenyekiti wa INEC akamtangaza Hashimu Rungwe kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya Urais wa JMT!!?

Ushindi au matokeo ya urais hayapingwi popote nikukumbushe, akishatangazwa ametangazwa!!
Probability ya hilo kutokea ni 1 in a tillion. Hivyo kwa sasa ni sawa haliwezi kutokea.
 
Mkuu wasikilozeni wanaccm wenzenu achaneni na chawa.

Wanasema kilichofanyika pale ni sawa na Kiongozi kuwalazimisha wakulima walime zao ambalo halina mvuto wala biashara sokoni kisa tu analipenda yeye.

Tusubiri soko lifunguliwe Wakulima wayalete mazao yao. Tuone ni zao gani litaibuka kidedea jwa kutawala biashara sokoni.
Si unajua Dola wanayo wao
 
Chawa wa mama salamaaa?

Bwana Rais Samia akakosea kumuita waziri na kumuita Mh. Rais wakati anahutubia baada ya kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa mradi wa maji, Mkinga-Tanga.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Sijawahi msikia Rais Samia akikosea hili hata mara moja, yaami mpaka ameweweseka kidogo kwa muda.

Kumbe moyoni anajua kabisa ameshayaaga mashindano mpaka subconscious automatically imemwambia sikia, wewe siyo Rais bana, safari hii mwingine atachukua kijiti na mkicheza vibaya wapinzani wanabeba ndoo😂😂😂

Chawa ukija na povu hakikisha umejipanga, usije ukafa kwa presha😂
mgh! kazi ipo
 
Back
Top Bottom