residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Duniani chochote kinawezekana.
Vipi iwapo mwenyekiti wa INEC akamtangaza Hashimu Rungwe kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya Urais wa JMT!!?
Ushindi au matokeo ya urais hayapingwi popote nikukumbushe, akishatangazwa ametangazwa!!
Vipi iwapo mwenyekiti wa INEC akamtangaza Hashimu Rungwe kuwa ndiye mshindi wa nafasi ya Urais wa JMT!!?
Ushindi au matokeo ya urais hayapingwi popote nikukumbushe, akishatangazwa ametangazwa!!
Mkuu una imani kuBwa katika miujiza. Hivi kweli unaamini huyu mama atashindwa uchaguzi au unaamini hatagombea?
Hii imani yako ni ole ya kuambia mlima kilimanjaro ukajitose baharini.