Rais Samia kuzindua Magomeni Quarters Tarehe 23/03/2022

SautiYaMnyonge

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2018
Posts
439
Reaction score
742
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Jumatano tarehe 23/03/2022 saa 1:30 asubuhi atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa nyumba 644 za wakazi wa Magomeni Kota, Dar es Salaam.

Wananchi wote wanakaribishwa kushiriki.

Ujenzi wa majengo ya kisasa ya ghorofa Magomeni Kota, miundombinu bora ya huduma mbalimbali kama masoko, maduka na viwanja vya michezo umelipa eneo la Magomeni Kota mandhari nzuri na mazingira yenye kuvutia sana.

Mradi wa Magomeni Kota utawapa makazi bora wakazi 644 waliokuwa wakiishi katika eneo hilo kabla ya kuvunjwa mwaka 2009.

Mradi umetekelezwa na kukamilishwa na wakala wa majengo Tanzania (TBA) kwa ubora wa hali ya juu.

Bodi ya ushauri, Menejimenti na watumishi wote wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wanaishukuru na kuipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha fedha za kukamilisha mradi huu wa ujenzi wa nyumba za makazi Magomeni Kota.

TBA ni taasisi Bora na imara ya serikali inayotekeleza miradi ya ujenzi kwa weledi, ubora na gharama nafuu kwa kutumia wataalam wake.

#TBATumekamilisha #MagomeniUshuani #KaziIendelee #TabasamuNaMatumaini
 
Mradi wa Magomeni Kota utawapa makazi bora wakazi 644 waliokuwa wakiishi katika eneo hilo kabla
Ngoja tujipange kuwahamisha hawa watu, hali ilivyo ngumu sidhani wanaweza kukaa humo magorofani kweli.
 
Kila akina pena na mwezi wa kwanza wakijaribu kuifuta na kuharibu legacy wanaangukia pua mana kila kona mwendazake iliweka vigingi tena sio vigingi feki ni vigingi vya chuma.
Kesho utawaona wakikenua mimeno kuona legacy ikizidi kupaa na kuimarika.

#MaendeleoHayanaChama
 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Jumatano tarehe 23/03/2022 saa 1:30 asubuhi atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa nyumba 644 za wakazi wa Magomeni Kota, Dar es Salaam.

Wananchi wote wanakaribishwa kushiriki.

Ujenzi wa majengo ya kisasa ya ghorofa Magomeni Kota, miundombinu bora ya huduma mbalimbali kama masoko, maduka na viwanja vya michezo umelipa eneo la Magomeni Kota mandhari nzuri na mazingira yenye kuvutia sana.

Mradi wa Magomeni Kota utawapa makazi bora wakazi 644 waliokuwa wakiishi katika eneo hilo kabla ya kuvunjwa mwaka 2009.

Mradi umetekelezwa na kukamilishwa na wakala wa majengo Tanzania (TBA) kwa ubora wa hali ya juu.

Bodi ya ushauri, Menejimenti na watumishi wote wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wanaishukuru na kuipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha fedha za kukamilisha mradi huu wa ujenzi wa nyumba za makazi Magomeni Kota.

TBA ni taasisi Bora na imara ya serikali inayotekeleza miradi ya ujenzi kwa weledi, ubora na gharama nafuu kwa kutumia wataalam wake.

#TBATumekamilisha #MagomeniUshuani #KaziIendelee #TabasamuNaMatumaini
Hivi kila mradi lazima azindua yeye na vijimipasho vyake vya kike?
 
Miradi kama iyo waziri wa ardhi au makamu wa rais anatosha kufanya uzinduzi. Leo uzindue bomba, kesho nyumba urais ni kazi rahisi sana bongo
 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Jumatano tarehe 23/03/2022 saa 1:30 asubuhi atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa nyumba 644 za wakazi wa Magomeni Kota, Dar es Salaam.

Wananchi wote wanakaribishwa kushiriki.

Ujenzi wa majengo ya kisasa ya ghorofa Magomeni Kota, miundombinu bora ya huduma mbalimbali kama masoko, maduka na viwanja vya michezo umelipa eneo la Magomeni Kota mandhari nzuri na mazingira yenye kuvutia sana.

Mradi wa Magomeni Kota utawapa makazi bora wakazi 644 waliokuwa wakiishi katika eneo hilo kabla ya kuvunjwa mwaka 2009.

Mradi umetekelezwa na kukamilishwa na wakala wa majengo Tanzania (TBA) kwa ubora wa hali ya juu.

Bodi ya ushauri, Menejimenti na watumishi wote wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wanaishukuru na kuipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha fedha za kukamilisha mradi huu wa ujenzi wa nyumba za makazi Magomeni Kota.

TBA ni taasisi Bora na imara ya serikali inayotekeleza miradi ya ujenzi kwa weledi, ubora na gharama nafuu kwa kutumia wataalam wake.

#TBATumekamilisha #MagomeniUshuani #KaziIendelee #TabasamuNaMatumaini
Hivi maghorofa ya kisasa yakoje maana maghorofa yaliyojengwa miaka ya sitini hayana tofauti na maghorofa ya kisasa, maghorofa ya kisasa yakoje?
 
Wengi watapangisha afu wao wataenda panga
 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Jumatano tarehe 23/03/2022 saa 1:30 asubuhi atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa nyumba 644 za wakazi wa Magomeni Kota, Dar es Salaam.

Wananchi wote wanakaribishwa kushiriki.

Ujenzi wa majengo ya kisasa ya ghorofa Magomeni Kota, miundombinu bora ya huduma mbalimbali kama masoko, maduka na viwanja vya michezo umelipa eneo la Magomeni Kota mandhari nzuri na mazingira yenye kuvutia sana.

Mradi wa Magomeni Kota utawapa makazi bora wakazi 644 waliokuwa wakiishi katika eneo hilo kabla ya kuvunjwa mwaka 2009.

Mradi umetekelezwa na kukamilishwa na wakala wa majengo Tanzania (TBA) kwa ubora wa hali ya juu.

Bodi ya ushauri, Menejimenti na watumishi wote wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wanaishukuru na kuipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha fedha za kukamilisha mradi huu wa ujenzi wa nyumba za makazi Magomeni Kota.

TBA ni taasisi Bora na imara ya serikali inayotekeleza miradi ya ujenzi kwa weledi, ubora na gharama nafuu kwa kutumia wataalam wake.

#TBATumekamilisha #MagomeniUshuani #KaziIendelee #TabasamuNaMatumaini
Hawa TBA ndio wale waliojenga maghorofa ya hosteli UDSM yakiyokuwa na shokamzoga! Nakumbuka waliopiga picha walikamatwa.
 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Jumatano tarehe 23/03/2022 saa 1:30 asubuhi atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa nyumba 644 za wakazi wa Magomeni Kota, Dar es Salaam. Wananchi wote wanakaribishwa kushiriki.

Ujenzi wa majengo ya kisasa ya ghorofa Magomeni Kota, miundombinu bora ya huduma mbalimbali kama masoko, maduka na viwanja vya michezo umelipa eneo la Magomeni Kota mandhari nzuri na mazingira yenye kuvutia sana.

Mradi wa Magomeni Kota utawapa makazi bora wakazi 644 waliokuwa wakiishi katika eneo hilo kabla ya kuvunjwa mwaka 2009. Mradi umetekelezwa na kukamilishwa na wakala wa majengo Tanzania (TBA) kwa ubora wa hali ya juu.

Bodi ya ushauri, Menejimenti na watumishi wote wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wanaishukuru na kuipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha fedha za kukamilisha mradi huu wa ujenzi wa nyumba za makazi Magomeni Kota.

TBA ni taasisi Bora na imara ya serikali inayotekeleza miradi ya ujenzi kwa weledi, ubora na gharama nafuu kwa kutumia wataalam wake.

#TBATumekamilisha #MagomeniUshuani #KaziIendelee #TabasamuNaMatumaini

IMG-20220322-WA0012.jpg
 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Jumatano tarehe 23/03/2022 saa 1:30 asubuhi atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa nyumba 644 za wakazi wa Magomeni Kota, Dar es Salaam.

Wananchi wote wanakaribishwa kushiriki.

Ujenzi wa majengo ya kisasa ya ghorofa Magomeni Kota, miundombinu bora ya huduma mbalimbali kama masoko, maduka na viwanja vya michezo umelipa eneo la Magomeni Kota mandhari nzuri na mazingira yenye kuvutia sana.

Mradi wa Magomeni Kota utawapa makazi bora wakazi 644 waliokuwa wakiishi katika eneo hilo kabla ya kuvunjwa mwaka 2009.

Mradi umetekelezwa na kukamilishwa na wakala wa majengo Tanzania (TBA) kwa ubora wa hali ya juu.

Bodi ya ushauri, Menejimenti na watumishi wote wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) wanaishukuru na kuipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha fedha za kukamilisha mradi huu wa ujenzi wa nyumba za makazi Magomeni Kota.

TBA ni taasisi Bora na imara ya serikali inayotekeleza miradi ya ujenzi kwa weledi, ubora na gharama nafuu kwa kutumia wataalam wake.

#TBATumekamilisha #MagomeniUshuani #KaziIendelee #TabasamuNaMatumaini
Alojenga hayo majengo ni Samia au Magufuli?
 
Kakubari kwenda aisee
 
Back
Top Bottom