Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Rais wa nchi ombaomba hana mamlaka yoyote kwa anao waomba zaidi ya kuteka watu wakeKuna katrend cha baadhi ya watu,wanasiasa na mabalozi wanataka kukatengeneza.yaani kutaka kuchukulia poa au kawaida eti Rais ni mtu au cheo cha kawaida tu.
Nawasihi tusijiaminishe upuuzi huu kwa mwamvuli wa demokrasia.
Kiongozi hata awe wa mtaa sio mtu wa kawaida tu.Kiongozi ni mtu mwenye maspirti ya kipekee...ana vyombo vingi sana ambavyo ni vya kawaida na sivivyo vya kawaida...amepitia mengi na ameona mengi sana ...ana akili zinazomwagika n.k
kamwe tusimchukulie poa.