Pre GE2025 Rais Samia kwa Mabalozi: Hatupo hapa kuelekezwa nini cha kufanya kwenye nchi yetu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna katrend cha baadhi ya watu,wanasiasa na mabalozi wanataka kukatengeneza.yaani kutaka kuchukulia poa au kawaida eti Rais ni mtu au cheo cha kawaida tu.
Nawasihi tusijiaminishe upuuzi huu kwa mwamvuli wa demokrasia.
Kiongozi hata awe wa mtaa sio mtu wa kawaida tu.Kiongozi ni mtu mwenye maspirti ya kipekee...ana vyombo vingi sana ambavyo ni vya kawaida na sivivyo vya kawaida...amepitia mengi na ameona mengi sana ...ana akili zinazomwagika n.k
kamwe tusimchukulie poa.
Rais wa nchi ombaomba hana mamlaka yoyote kwa anao waomba zaidi ya kuteka watu wake
 
Oh okay kumbe rais nimkubwa kuliko wananchi sw.
All the best
 
Kuna katrend cha baadhi ya watu,wanasiasa na mabalozi wanataka kukatengeneza.yaani kutaka kuchukulia poa au kawaida eti Rais ni mtu au cheo cha kawaida tu.
Nawasihi tusijiaminishe upuuzi huu kwa mwamvuli wa demokrasia.
Kiongozi hata awe wa mtaa sio mtu wa kawaida tu.Kiongozi ni mtu mwenye maspirti ya kipekee...ana vyombo vingi sana ambavyo ni vya kawaida na sivivyo vya kawaida...amepitia mengi na ameona mengi sana ...ana akili zinazomwagika n.k
kamwe tusimchukulie poa.
Kwa mawazo hayo nakubali hili'Jinga lao" kweli kweli kama ilivyo profile name yako
 
Eti ana akili zinazomwagika, kwenye uongozi kinachohitajika ni busara sio akili maana hata kichaa ana kiasi chake cha akili..
 
Trend ya ID zilizokuwa zinasifia utawala wa dikteta uchwara kutoka Chato zimeanza kutoka mafichoni kwa kasi.

Kwahiyo mmejitanabaisha nyinyi legacy pekee ni kuua au kumpoteza yoyote anayetofautiana mawazo .
 
Kuna katrend cha baadhi ya watu,wanasiasa na mabalozi wanataka kukatengeneza.yaani kutaka kuchukulia poa au kawaida eti Rais ni mtu au cheo cha kawaida tu.
Nawasihi tusijiaminishe upuuzi huu kwa mwamvuli wa demokrasia.
Kiongozi hata awe wa mtaa sio mtu wa kawaida tu.Kiongozi ni mtu mwenye maspirti ya kipekee...ana vyombo vingi sana ambavyo ni vya kawaida na sivivyo vya kawaida...amepitia mengi na ameona mengi sana ...ana akili zinazomwagika n.k
kamwe tusimchukulie poa.
Mwenyekiti wa kijiji China ana akili nyingi kuliko Rais wa Tanzania.

Watu wenye tuakili tudogo hawana nguvu yoyote katika ulimwengu huu IQ below 50.

Jinga lao la CCM
 
20240902_120610.jpg
 
Najua Tanzania kuna Chief Kingdom zilizokuwa zimejawa Uwoga na Uvivu na vizazi vyao viko hivyo hata Leo

Lakini sisi ambao Babu zetu walimwaga damu kumfurusha Mjerumani tuko pamoja na Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kuwataka Wasitupangie Sisi ni Taifa Huru lenye kujiamulia mambo yake

Haiwezekani Babu zetu wampige mzungu halafu sisi tumuogope mzungu, never

Kwenye Biblia Baraka za Ibrahim zilishuka hadi kwa Lawi Kizazi cha Yakobo

Mungu wa mbinguni awabariki!

Navalonge swela 🐼
 
Rais wenu huyo wa kiguu na njia kila siku akitembeza bakuli la omba omba Kwa hao hao anaowakoromea???

Mwamba wa kukorokea Mababeru alikuwa Jiwe tu. Maana hata huko kwao alikuwa haendi. Tulikuwa naye humu humu akichapa kazi.
 
Najua Tanzania kuna Chief Kingdom zilizokuwa zimejawa Uwoga na Uvivu na vizazi vyao viko hivyo hata Leo

Lakini sisi ambao Babu zetu walimwaga damu kumfurusha Mjerumani tuko pamoja na Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kuwataka Wasitupangie Sisi ni Taifa Huru lenye kujiamulia mambo yake

Haiwezekani Babu zetu wampige mzungu halafu sisi tumuogope mzungu, never

Kwenye Biblia Baraka za Ibrahim zilishuka hadi kwa Lawi Kizazi cha Yakobo

Mungu wa mbinguni awabariki!

Navalonge swela 🐼
ajabu!!!!
 
Shenzi wewe kwa hiyo unataka upangiwe na Wa-Oman!
 
Ni haki Raisi kusema hata Magfuli alikuwa anasema hadharani kwa sababu ipo katika Tanzania foreign affairs policy ...Wengi hawajui Rais yuko sahihi hawana mamlaka ya kutuingilia mambo yetu hata kwenye sera zetu tumeainisha kabisa .
 
Omba omba hana chake bhana!! Chandalua tu kwa msaada w watu wa marekani.
All the best
 
Ni haki Raisi kusema hata Magfuli alikuwa anasema hadharani kwa sababu ipo katika Tanzania foreign affairs policy ...Wengi hawajui Rais yuko sahihi hawana mamlaka ya kutuingilia mambo yetu hata kwenye sera zetu tumeainisha kabisa .
Najua Tanzania kuna Chief Kingdom zilizokuwa zimejawa Uwoga na Uvivu na vizazi vyao viko hivyo hata Leo

Lakini sisi ambao Babu zetu walimwaga damu kumfurusha Mjerumani tuko pamoja na Mpendwa Wetu Mh Rais Samia kuwataka Wasitupangie Sisi ni Taifa Huru lenye kujiamulia mambo yake

Haiwezekani Babu zetu wampige mzungu halafu sisi tumuogope mzungu, never

Kwenye Biblia Baraka za Ibrahim zilishuka hadi kwa Lawi Kizazi cha Yakobo

Mungu wa mbinguni awabariki!

Navalonge swela 🐼
Nendeni mkasome Mkataba wa kimataifa wa Vienna Convention.
 
Back
Top Bottom