GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Awe ni TISS Agent
2. Awe ni Mmedani ( JWTZ ) Mstaafu
3. Awe Lawyer na Diplomat tu
ANGALIZO
Hakikisha awe ni Muislamu kwa Imani ( Dini ) halafu awe anatokea Visiwani ( Zanzibar Isles ) na kamwe asitokee huku Kwetu Tanzania Mainland.
Mheshimiwa Rais wangu Samia kama ambavyo hukuniangusha GENTAMYCINE katika Kukuomba Wewe kama Mwenyekiti wa CCM Taifa pamoja na wana CCM wote naamini hata kwa hili pia kamwe hutoniangusha kwani nina Imani Kubwa nawe.
Nikutakie Kazi Njema Rais wetu Samia.