Rais Samia, kwa unyenyekevu mkubwa epuka huo mtego

Mheshimiwa Rais, suala la Mkataba wa Bandari limefichua nyufa kubwa za Taifa letu hasa katika suala la Dini, Muungano, Ukabila, Ukanda, Jinsia na Itikadi za Siasa. Sasa naomba nikushauri kwa unyenyekevu mkubwa epuka mtego wa wasaidizi wako hasa huu wa kukamata watu na kuwaambia ni wahaini.

Huu ni mtego Mkubwa kwako ili 2025 ubaki mkiwa na watakutoa sadaka. Usicheze na Hawa Jamaa wana mbinu balaa. Hivi unadhani unaweza mfunga Dr. Slaa halafu watu wa dini za mlengo wake wakakaa kimya, watakuandama balaa na watataka kuthibitisha madai ambayo mimi sitaki kuamini ya udini na mambo kama hayo. Vilevile waliokamatwa kwa uhaini wote ni watanzania bara, hili nalo litaongeza ufa uliopo katika Muungano.

Ushauri Wangu, kuwa makini kubali sauti za kila upande, amua kwa busara, jikabidhi kwa Mungui akupe busara, hekima na uthabiti.
CCM walijipanga kwenda mikoa yote kuwashawishi watu uzuri wa mkataba huu, mambo yamewawia vigumu Sasa wameona dawa ni kubambika kesi ya uhaini kupoozesha mambo, lakini hata hili la kubambika kesi za uhaini sioni kama litafanikiwa.
 
acha upuuzi wako huo, we ndio unashabikia ubaguzi, waliokamwatwa ni wahalifu, hawakukamatwa kwasababu ya dini zao wala kuwa wametokea upande fulani wa muungano. Kwa hiyo kwa akili yako polisi ikamate mzanzibari hata hajafanya kosa? au imkamate muislam. Tumia akili kuliko makalio ktk kufikiri. Mama yetu atapita kwa kura za kishindo 2025 we nyau km umetumwa kumtisha rais wetu. We kweli ni kenge ufanye upumbavu uache kisa we mkatoliki na rais muislam? Kwanza hakuna wakristo wa kijinga hivyo.
Acha kupaniki wewe shoga huu ndio ukweli
 
Mheshimiwa Rais, suala la Mkataba wa Bandari limefichua nyufa kubwa za Taifa letu hasa katika suala la Dini, Muungano, Ukabila, Ukanda, Jinsia na Itikadi za Siasa. Sasa naomba nikushauri kwa unyenyekevu mkubwa epuka mtego wa wasaidizi wako hasa huu wa kukamata watu na kuwaambia ni wahaini.

Huu ni mtego Mkubwa kwako ili 2025 ubaki mkiwa na watakutoa sadaka. Usicheze na Hawa Jamaa wana mbinu balaa. Hivi unadhani unaweza mfunga Dr. Slaa halafu watu wa dini za mlengo wake wakakaa kimya, watakuandama balaa na watataka kuthibitisha madai ambayo mimi sitaki kuamini ya udini na mambo kama hayo. Vilevile waliokamatwa kwa uhaini wote ni watanzania bara, hili nalo litaongeza ufa uliopo katika Muungano.

Ushauri Wangu, kuwa makini kubali sauti za kila upande, amua kwa busara, jikabidhi kwa Mungui akupe busara, hekima na uthabiti.
Unadhani unatoa ushauri wa busara kumbe unashindwa kutazama picha pana ya uchumi na ufanisi mzima wa bandari.

Umemezwa na siasa mpaka unasahau kuwa bandari yetu inatakiwa ifaidike na uwepo wa nchi hii kijiografia. Kwa akili hizi ni rahisi kukubaliana na msemo kwamba kwenye miti mingi hakuna wajenzi.

Kagame aliposema anaweza kuiendesha Tanzania kupitia bandari peke yake hakujumuisha na ujinga mwingi tulionao raia wa nchi hii.
 
Mpumbavu huwa hashauriki maana ameziba masikio
 
acha upuuzi wako huo, we ndio unashabikia ubaguzi, waliokamwatwa ni wahalifu, hawakukamatwa kwasababu ya dini zao wala kuwa wametokea upande fulani wa muungano. Kwa hiyo kwa akili yako polisi ikamate mzanzibari hata hajafanya kosa? au imkamate muislam. Tumia akili kuliko makalio ktk kufikiri. Mama yetu atapita kwa kura za kishindo 2025 we nyau km umetumwa kumtisha rais wetu. We kweli ni kenge ufanye upumbavu uache kisa we mkatoliki na rais muislam? Kwanza hakuna wakristo wa kijinga hivyo.
Manka, unajituma Sana.
 
Samia yupo kati kati naamini hata yeye haelewi wapi pakwenda, akitulia moto wa mkataba wa hovyo unaendelea kumuwakia, akisema awafunge midomo wanaouwasha moto, hapo napo anaenda kuuwasha moto mwingine kwa namna tofauti..

Huyu mama hii nchi imemshinda, hawezi kufanya lolote kwa sasa, ameamua kuacha mambo yajiendee, bahati mbaya hata hayo mambo yanavyojiendea, bado yanaendelea kumuharibikia, mwanamke ana bahati mbaya sana.
Mimi naona analaana ya kumsimanga mtangulizi wake ,na kuijona bora ,kuna mdau aliiandika hapa kuwa utawala wake kamwe hautakaa uengamane ,ndo yanaaza kutokea sasa
 
"The Catholic Church is not powerful as it used to be, but also not weak as many may presume"

Huyu mama pamoja na wafuasi wake ameshindwa kung'amua nguvu ya dini kwenye uongozi wa taifa lolote lile. Hilo kanisa Katoliki ambalo wafuasi wake wameonesha kulishambulia kwa nguvu limekuwepo miaka zaidi ya 2000 hata kabla ya uislamu kuzaliwa. Limekutana uso kwa uso na madikteta, watawala na mifumo hatari kuwahi kutokea hapa duniani, lakini bado lipo mpaka leo. Kama unazungumzia udikteta na michezo michafu, basi hili Kanisa ndiyo kinara.

Hata watangulizi wake kutoka dhehebu lake kama Mzee Mwinyi na Mzee Jakaya walikuwa wanalifahamu hili vizuri. Kuhisi kwamba yeye kuwa na vyombo vya dola mkononi ndiyo kutamfanya awatishie maaskofu na kuwanyamazisha wafuasi wa dhehebu hili, basi amejikoroga vibaya mno. Dokta Slaa angekuwa kweli ana makosa basi walau watu wangeona hata aibu kumtetea, ila makosa yamepikwa kihuni-huni tu. Sijuia aisee.

Alichokifanya huyu mama wiki iliyopita tunakiita, Crossing the Rubicon, AU A Point of No Return. Ameuthibitishia ulimwengu kwamba yeye ni mtu ambaye yuko radhi hata taifa lote liwake moto na maelfu wafe, lakini maslahi yake binafsi na siasa zake kali za kidini lazima vishike hatamu. Mpaka sasa hawezi kufanya jambo lolote litakaloweza kufuta hichi alichokifanya hata kama leo hii atastaafu au kujiuzulu. Kiufupi amezichanga karata zake vibaya sana.

Kipindi kile Masheikh wa UAMSHO wanakamatwa, ingekuwa Raisi ni Mkristo basi mambo yangeharibika vibaya hapa nchini. Mambo hayakuwa mabaya sana kwasababu Raisi alikuwa ni mwenzao katika IMANI. Mengi walienda kuyamalizia huko MSIKITINI. Mkapa alipowafanyia vurugu Waislamu Msikitini kwao miaka ya 90's, mambo yalikuwa yanachemka chini-chini na yakaenda kulipukia Zanzibar mwaka 2001. Tena ashukuru kipindi kile watu hawakuwa wajanja kama kipindi hiki, ule ukatili wa Mwembechai ungefanyika leo hii, Mzee Mkapa asingetawala nchi kirahisi.
 
Arudishe chochote alichopokea kutoka DP World na asitishe mkataba dhalimu atakuwa salama!
Haja ya kurusha alichopata kwani walimpa wao wenyewe atuambie ngapi ziingie kwenye maendeleo kwa sababu anajua walipo weka sura yake na bendera ya Tanzania kwenye jengo atakuwa mjinga kama hakujua kuna viashiria vya rushwa kwa huyo awambie kwaheri naona mkataba haukuwa wa haki tuone kama wataufyata huo ndio msimamo wa Amiri jeshi anaelinda nchi yake
 
Ushauri Wangu, kuwa makini kubali sauti za kila upande, amua kwa busara, jikabidhi kwa Mungui akupe busara, hekima na uthabiti.
Unajua nawashangaa!!! Kwa hiyo, Sasa hivi urais siyo Taasisi Tena? Mbona mnasakama, isakame Taasisi!
 
Mheshimiwa Rais, suala la Mkataba wa Bandari limefichua nyufa kubwa za Taifa letu hasa katika suala la Dini, Muungano, Ukabila, Ukanda, Jinsia na Itikadi za Siasa. Sasa naomba nikushauri kwa unyenyekevu mkubwa epuka mtego wa wasaidizi wako hasa huu wa kukamata watu na kuwaambia ni wahaini.

Huu ni mtego Mkubwa kwako ili 2025 ubaki mkiwa na watakutoa sadaka. Usicheze na Hawa Jamaa wana mbinu balaa. Hivi unadhani unaweza mfunga Dr. Slaa halafu watu wa dini za mlengo wake wakakaa kimya, watakuandama balaa na watataka kuthibitisha madai ambayo mimi sitaki kuamini ya udini na mambo kama hayo. Vilevile waliokamatwa kwa uhaini wote ni watanzania bara, hili nalo litaongeza ufa uliopo katika Muungano.

Ushauri Wangu, kuwa makini kubali sauti za kila upande, amua kwa busara, jikabidhi kwa Mungui akupe busara, hekima na uthabiti.
Acha aende kwenye mtego Ili umfyetue
 
Unadhani unatoa ushauri wa busara kumbe unashindwa kutazama picha pana ya uchumi na ufanisi mzima wa bandari.

Umemezwa na siasa mpaka unasahau kuwa bandari yetu inatakiwa ifaidike na uwepo wa nchi hii kijiografia. Kwa akili hizi ni rahisi kukubaliana na msemo kwamba kwenye miti mingi hakuna wajenzi.

Kagame aliposema anaweza kuiendesha Tanzania kupitia bandari peke yake hakujumuisha na ujinga mwingi tulionao raia wa nchi hii.
Shida sio Uwekezaji! Shida tutapata NINI? Acha kuzunguka zunguka sijui Kagame alisema!
 
Back
Top Bottom