Rais Samia, kwa unyenyekevu mkubwa epuka huo mtego

Hii karata ya dini wapinzani wake nao wameitumia unadhani DP World wangekua sio waarabu wangepingwa na hadi makanisa?
 
Mbona makasiriko Ndg kwanini umtukane mwenzio ambaye hajatoa tusi hata moja kwenye uzi wake, yeye ametoa mawazo na mtizamo wake, hivyo na wewe ni vyema ukamjibu kwa hoja na siyo vitisho na matusi jifunze hilo litakusaidia sana ndg, jibu hoja kwa hoja na siyo kwa matusi!
 
Hapa wewe ndiyo mjinga ndg, maana hakuna mahali mtoa mada amepinga uwekezaji wa bandari, na hakuna mtanzania yeyote yule mwenye akili timamu anaepinga uwekezaji wa bandari, isipokuwa ni watu wanapinga aina ya mkataba baina ya DP world na Tanzania Government, ndiyo maana wadau mbali mbali wanasema huo mkataba ufanyiwe marekebisho maana una mapungufu mengi na hauna maslai kwa Tanzania, ni hayo tuu, sasa jipime kati yako wewe na mtoa mada ni nani mjinga, kumzidi mwenzie
 
Vilevile waliokamatwa kwa uhaini wote ni watanzania bara, hili nalo litaongeza ufa uliopo katika Muungano.[emoji817][emoji419][emoji817][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na Samia bhna tumepiga kelele tumechoka acha nae ale kiburi na jeuri yake ,,
 
Atapigwa Pini na hakuna Cha mtego,Rais usisikilize Hawa wapuuzi,kwani Wanamuabudu Slaa? Who is Dr.Slaa by the way mhuni huyo aliyekuwa anafurahia kupigwa Lisasi Lisu na kufungwa Mbowe?

Rais ongeza kamba vita zaidi tuone huyo Slaa na hao anaowataja watafanyaje.Vita ni vita muraa mpaka wahaini wakome.
 
Saa zingine naona kabisa huyu Maza hana shida wala kona yeyote ila hapa tatizo ni chawa wanampitisha kwenye miiba yaani nchi haiendeshwi kimpangilio imebaki mihemko
Toeni ujinga wenu hapa,Chawa ndio walimtuma Slaa na waropokaji wengine wakafanye uhaini?
 
CCM walijipanga kwenda mikoa yote kuwashawishi watu uzuri wa mkataba huu, mambo yamewawia vigumu Sasa wameona dawa ni kubambika kesi ya uhaini kupoozesha mambo, lakini hata hili la kubambika kesi za uhaini sioni kama litafanikiwa.
Wala tatizo sio mkataba ila tatizo ni wahuni kusema eti wataongoza Maandamano kumpindua Rais , thubutu ngoja awanyooshe kwanza wawe na adabu.
 
Wajinga sana Hawa,walikuwa wanamdhihaki Rais na kumuona mtoto mdogo,ngoja awapelekee moto.

Kwanza nimefurahi Sasa watakuwa na adabu.
 
Unaongelea dini gani? Wakristu, Wakatoliki!! Wakristu tuko very objective, hatuwezi kuunga mkono mtu ambaye anataka kutuharibia amani ya taifa letu.

Tofauti na Waislamu wanaangalia kila maamuzi na kuhusisha na kwenye dini ya mtu. Wakristu tunapima ubora (merit) ya maamuzi na kuyaunga au kuyapinga.

Dr Slaa hana jipya zaidi ya FRUSTRATION. na siyo mtu wa kuaminika.

Toka kuwa Padri wa RC hadi kuwa Mume wa Rose Kamili na Mushumbushi ni kukosa focus. Kisha Mgombea wa CCM Karatu mwaka 1995 na kuhmia CHADEMA. Mbunge na kuwa Katibu mkuu wa CDM na mgombea uRais mwaka 2010. Halafu akasaliti chama kwa kununuliwa na Magufuli kama andazi au bakuli. Kafanya ubalozi lakini kipindi kilipokwisha mke kakataa kurudi Tanzania

Baada ya Ubalozi ku expire maana aliyempa alikufa, ndipo anakuja na munkari wa kutaka kupindua Serikali.

Dr Slaa ni mnafiki, msaliti, mtu asiyekuwa na msimamo na yuko tayari kuuzwa kama bidhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…