Rais Samia kwa upole huo usiokuwa na kauli ya kukemea tegemea kukwamishwa

Rais Samia kwa upole huo usiokuwa na kauli ya kukemea tegemea kukwamishwa

polokwane

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2018
Posts
4,158
Reaction score
7,667
Mh Rais kina wakati kauli tu hutoa onyo na amri ya kutekeleza, kuna namna naona inaelekea kukukwamisha katika maelekezo yako kwa waliochini yako.

Nini kimekukuta? hata kwa mambo ya kukemea ukasikika na utekelezaji ukawa wa haraka?

lakin kwa namna unavyo toa maelekezo yako kwa hakika usitegemee utekelezaji unao utarajia.

Ulianza vizuri kwa kauli za kiuongozi lakini sasa umeanza kupoa tena sana kiasi kwamba utachezewa sharubu sana na
1. Wakwepa kodi
2. Mawaziri wako
3. Wezi wa mali za umma.
4. Watumishi wa umma n.k

Mama kauli za kiuongozi huongeza utekelezaji , upole usizid utakwamishwa sio mda mambo yatasimama maana naona hata mawaziri sasa wamepoa sana sana kama hawapo.
 
Mtoa hoja acha kuwa na unafiki ba uchoyo wa ukweli,profile nzuri la jiji linalojiendesha kisheria ila unataka nchi yake iendeshwe kiamri,so far our President Samia kwa mimi binafsi she is doing very well na ninamwombea aendeleze hali hii,ukiwa baba au mama katili hata familia yako itakuwa ya kikatili
 
Kinachotenda kazi ni pitch ya sauti/tone au kusimamia Sheria Taratibu na kanuni za nchi???
Marehemu ameiharibu sana nchi hii. Kufokafoka na kuwatolea kashfa hadharani wasaidizi wako na watendaji serikalini ndio inaonekana kua ni uchapakazi. Taratibu watu wataelewa kua maagizo ya mkuu wa nchi hata yakitolewa kwa kauli za staha yanatekelezwa
 
Mtoa hoja acha kuwa na unafiki ba uchoyo wa ukweli,profile nzuri la jiji linalojiendesha kisheria ila unataka nchi yake iendeshwe kiamri,so far our President Samia kwa mimi binafsi she is doing very well na ninamwombea aendeleze hali hii,ukiwa baba au mama katili hata familia yako itakuwa ya kikatili
Kumuongoza mwafrica kuna wakati ukali wa maneno unatakiwa na hiyo ni hulka ya kizazi chote cha ngozi nyeusi.
 
Marehemu ameiharibu sana nchi hii. Kufokafoka na kuwatolea kashfa hadharani wasaidizi wako na watendaji serikalini ndio inaonekana kua ni uchapakazi. Taratibu watu wataelewa kua maagizo ya mkuu wa nchi hata yakitolewa kwa kauli za staha yanatekelezwa
Aliwapiga mkwara viongozi wa dini pale Oeysterbay ( st. Peters ) kuvaa Barakoa
 
Mh rais kina wakati kauli tu hutoa onyo na amri ya kutekeleza, kuna namna naona inaelekea kukukwamisha katika maelekezo yako kwa waliochini yako


Nini kimekukuta? hata kwa mambo ya kukemea ukasikika na utekelezaji ukawa wa haraka?

lakin kwa namna unavyo toa maelekezo yako kwa hakika usitegemee utekelezaji unao utarajia.

Ulianza vizuri kwa kauli za kiuongozi lakini sasa umeanza kupoa tena sana kiasi kwamba utachezewa sharubu sana na
1.Wakwepa kodi
2.mawaziri wako
3.wezi wa mali za umma.
4.watumishi wa umma n.k

Mama kauli za kiuongozi huongeza utekelezaji , upole usizid utakwamishwa sio mda mambo yatasimama maana naona hata mawaziri sasa wamepoa sana sana kama hawapo.
Bahati mbaya Sana ,WATU wengi wenda hata fanya kazi za kiutawala hamjawai, aliesema kufoka Kama kiongozi ndo uongonzi, nani,?
kauli ya rais bila kujali kaitoa anatabasam bado ni kauli strong mbona mwamchukulia poa Sana mh , wasubutu waone Kama hawatavulumishwa ,
 
Team Chato na SukumaGang mlishazoea kutesa watu na kufanya unyanganyi kwa kigezo cha kusema kuwa mkali!

Mnapoona fursa ya kuiba kwa unyanganyi haipo tena mnapagwa! Acha haki itendeke ndani ya nchi acheni unyang'au na ujambazi wenu!

Mtu unalipwa ml 3 kwa mwezi baada ya miaka mitatu tayari una bilion 3, then ujimwambafy unakusanya kodi wakati mlikuwa mnafanya ujambazi mtupu
 
Nyie mburula wa Sukuma Gang, mjue Rais Samia hakuokotwa jalalani, huyu amehudumu Serikali kwa muda wa kutosha,amekuwa Makamu wa Rais wa JMT kwa miaka mitano+, hivyo msimchukulie poa na kuanza kumletea dharau zenu za kishamba. Tumechoka na huu upuuzi wenu mkisha vimbiwa viporo vilivyochacha mnakuja kupumulia humu.
 
Back
Top Bottom