rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,988
sio viongozi wa Tanzania yani hawa wateuliwaa usipowaburuzaa kwa amrii mbona utakomaa mambo hayaendiii..Ukali haujawahi kuwa ni approach nzuri ya kuongoza watu
sio viongozi wa Tanzania yani hawa wateuliwaa usipowaburuzaa kwa amrii mbona utakomaa mambo hayaendiii..Ukali haujawahi kuwa ni approach nzuri ya kuongoza watu
Vyote ulivyo vigusia ni muhimu sana wakati unatoka maelekezo.Kinachotenda kazi ni pitch ya sauti/tone au kusimamia Sheria Taratibu na kanuni za nchi???
Umekuwa kiongozi wa ngazi gani? Jee ulijifunza utaratibu na mbinu za kutoa maelekezo?Bahati mbaya Sana ,WATU wengi wenda hata fanya kazi za kiutawala hamjawai, aliesema kufoka Kama kiongozi ndo uongonzi, nani,?
kauli ya rais bila kujali kaitoa anatabasam bado ni kauli strong mbona mwamchukulia poa Sana mh , wasubutu waone Kama hawatavulumishwa ,
Vyote kwa pamoja.Lazima kiongozi awe mfanoKinachotenda kazi ni pitch ya sauti/tone au kusimamia Sheria Taratibu na kanuni za nchi???
Foka ya mwenda zake ilikuwa ni kudhalilisha watendaji. Lakini na mama naye anaonyesha weakness katika ligha ya kueleza mambo na utatuzi wake. Anakuwa ni kama mchambuzi wa matatizo ya wananchi wa Tz, lakini hatoi command ni kipi kifanyike, mfano ni pale laini za simu hakutoa kauli kuwa mkurugenzi wa tcra nataka ifanyike namna hii. Kuishia kuchambua ni weakness kwa kiongozi wa mwisho wa nchi,tena amiri kesho mkuu. Mama kazoea kwenye harakati za kuitetea haki za raia bado hajajitambua kuwa theory ya haki za binadamu ni kwenye makongamano tu lakini serikali ni utekelezaji tu sio kuchambua. Anaweza la wazirikuu wa Ethiopia ambaye hadi akapata nobel prize, kwa kuheshimu haki za raia. Lakini amekuja kuelewa kuwa kuongoza serikali ni jambo la imaguvu tu. Hata NYERERE aliwahi kusema maelekezo ya serikali ni amri kwenda mbele . Hivi jkimwambia polisi akishika mtu na kosa amuelimishe tu mkosaji does it make sense kweli? Unamuelimisha nini mtu hana bima au leseni imeisha au overspeeding au sight mirror .hivyo vyote uelimishe tu ? Mama ataanza kutuambia mwizi sugu akikamatwa aelimishwe , wakati ameshaua watu kadhaa unampa elimu gani? I am sure with time atajua tu kuwa ngulumbili ni kuburuzana tu. huwezi kuendesha nchi kwa kuelimisha mtu kitu ambacho anakijua na anavunja sheria kwa makusudi. hasa utozaji kodi kama atadhani wafanyabiashara wanaonewa I am sorry she will learn the hard way kwani hapo akicheza atashindwa kuendesha nchi. asifokee watu, lakini. asitoe nadharia kama za darasani eti nchi itaenda, never. Wishing her every success maana bado anajifunza na yeye janani. A week before haijafa JPM hakuwa na ndiyo ya uraia wa JMT, sasa ghafla amekishika , tumsamehe ajifunze atatenda .Mpango na Majaliwa nina imani wanatosha kumshauri tukafika salama. Nawasalimia kwa jina la JMT. Kazi iendelee. wishing her every success madamme president.sio viongozi wa Tanzania yani hawa wateuliwaa usipowaburuzaa kwa amrii mbona utakomaa mambo hayaendiii..
Kwanza nianze kwa kukiri kwamba mimi ni sio mwanasiasa ila kwa kipindi fulani nilikuwa shabiki mkubwa wa chadema.Kiukweli miongoni mwa wale waliokuwa wakimponda sana na hata kutokuhuzunishwa na kwenda kwa mwendazake na mimi nilikuwemo.Ninakiri wazi kuwa nilifanya makosa makubwa sana na sikujua kuwa nilikuwa nakataa almasi kwa kukusanya kokoto.
Ni miezi miwili sasa mzigo wangu umekwama bandarini kwa madai kuwa taratibu za ushuru kutokukamilika hali ya kuwa risiti zote halali ninazo.Mbaya zaidi ni mzigo wa biashara hivyo kadri muda unavyoenda nazidi kupata hasara.Sikujua kuwa ukali wa kiongozi mkuu unaweza kusaidia watendaji wa chini wakatimiza majukumu yao kwa weledi na uharaka kwa kumjali mwananchi.Pili hali ya umeme huku mtaani kwetu ni tete,Kila mara umeme unakatika,Na mita za luku system hazifanyi kazi mara kwa mara umeme haununuliki.Ninajiuliza mbona kipindi cha mwendazake haya mambo hayakuwepo? Ina maana utendaji wa hawa wafanyakazi unaangalia zaidi kiongozi mkuu aliyepo juu yao?
Kiukweli nimeshuhudia mambo mengi ya hovyo ndani ya muda huu mfupi,Tukiachilia mbali la kuahirishwa mechi ya Simba na Yanga bila kiongozi yoyote kuchukuliwa hatua,Madawa ya kulevya yameongezeka kwa kasi huku mitaani,wizi na ujambazi navyo vinashamiri ndani ya muda mfupi,Kwanini?
Kwakweli niseme tu kuwa ninajuta sana kumponda mwendazake popote alipo anisa
To lead a successful country cannot come by accident, the leader must be prepared to see successes as a the ultimate choice. Those you lead and implement your vision must do what is required of them without a choice of failure.Hata Mimi nimeliona mama hana kelele kiukweli na kwa asili viongozi wetu wengi hawaendi bila ya kelele na kuwapa deadline ya kitu Fulani kiishe muda Fulani niletewe report mkimaliza bila hivyo ukiwauliza watasema tuko kwenye mchakato sijui upembuzi yakinifu...wataalamu bado wnashughulikia nk..nk. Vitu vya mzee na heshima makazini vilikuja kwasababu hiyo.. Utasikia hayaaaaShure italetewa madawati 100 mkurugenzi mkuu wa shure mko wapi? Polisi njooni hapa...pesa hizo hapa ore wenu ipite mienzi miwili dawati hazijaingia....sasa kwa biti hiyo nani anapindua?..mama anasema naomba lifanyiwe kazi /kwa upole inaishia hewani bila biti wengi hawaendi kiukweli. Hongera mama kwa mazuri uliyoanza Nayo wazingue kidogo.
Ukizoea kufokewa ndio matokea ya dai lako,Billy Gate kuna mtu alimfokea ili atafute na aupate utajiri !!!???Mh Rais kina wakati kauli tu hutoa onyo na amri ya kutekeleza, kuna namna naona inaelekea kukukwamisha katika maelekezo yako kwa waliochini yako
Nini kimekukuta? hata kwa mambo ya kukemea ukasikika na utekelezaji ukawa wa haraka?
lakin kwa namna unavyo toa maelekezo yako kwa hakika usitegemee utekelezaji unao utarajia.
Ulianza vizuri kwa kauli za kiuongozi lakini sasa umeanza kupoa tena sana kiasi kwamba utachezewa sharubu sana na
1. Wakwepa kodi
2. Mawaziri wako
3. Wezi wa mali za umma.
4. Watumishi wa umma n.k
Mama kauli za kiuongozi huongeza utekelezaji , upole usizid utakwamishwa sio mda mambo yatasimama maana naona hata mawaziri sasa wamepoa sana sana kama hawapo.
Anaugonjwa wa Magu effectsKwahiyo mtoa mada alitaka mama yetu naye aanze kutufokea ovyo? Kweli duniani Kuna mambo!
Mkuu Basi tu ngoja nijibu hivi , ila elewa uongonzi ni busara na akili Wala sio manguvu ,Umekuwa kiongozi wa ngazi gani? Jee ulijifunza utaratibu na mbinu za kutoa maelekezo?
Alishasema yeye anatumia kauli ya upole na maelekezo yake anayatoa kwa kuomba lakini ndiyo anamaanisha. Tumpe muda jamani, bado mapema sana kuanza kumhukumuMh Rais kina wakati kauli tu hutoa onyo na amri ya kutekeleza, kuna namna naona inaelekea kukukwamisha katika maelekezo yako kwa waliochini yako.
Nini kimekukuta? hata kwa mambo ya kukemea ukasikika na utekelezaji ukawa wa haraka?
lakin kwa namna unavyo toa maelekezo yako kwa hakika usitegemee utekelezaji unao utarajia.
Ulianza vizuri kwa kauli za kiuongozi lakini sasa umeanza kupoa tena sana kiasi kwamba utachezewa sharubu sana na
1. Wakwepa kodi
2. Mawaziri wako
3. Wezi wa mali za umma.
4. Watumishi wa umma n.k
Mama kauli za kiuongozi huongeza utekelezaji , upole usizid utakwamishwa sio mda mambo yatasimama maana naona hata mawaziri sasa wamepoa sana sana kama hawapo.
Waziri gani kamsahau Rais jina lake?
Hii mijitu ni mijinga kweli ndio hii ukienda kwake yanafokea fokea tu familia yake na mwisho wa siku watoto wake wanaishia kua malaya na wavuta bangi.Kinachotenda kazi ni pitch ya sauti/tone au kusimamia Sheria Taratibu na kanuni za nchi???
Apewe mda kivip wakati wenzie washa anza ku temper na mifumo huko wanachepusha pesa aisee mama asiwe hivi watamliza.Alishasema yeye anatumia kauli ya upole na maelekezo yake anayatoa kwa kuomba lakini ndiyo anamaanisha. Tumpe muda jamani, bado mapema sana kuanza kumhukumu