Rais Samia kwa upole huo usiokuwa na kauli ya kukemea tegemea kukwamishwa

Rais Samia kwa upole huo usiokuwa na kauli ya kukemea tegemea kukwamishwa

Hii mijitu ni mijinga kweli ndio hii ukienda kwake yanafokea fokea tu familia yake na mwisho wa siku watoto wake wanaishia kua malaya na wavuta bangi.
Haya aendelee kuwa na pitch hiyo hiyo atavuna anacho panda watanzania sio wa kwenda nao kwa style hiyo anayo taka kwenda nayo yeye atalizwa
 
Back
Top Bottom