Wafanyakazi.Kinachotenda kazi ni pitch ya sauti/tone au kusimamia Sheria Taratibu na kanuni za nchi???
Marehemu ameiharibu sana nchi hii. Kufokafoka na kuwatolea kashfa hadharani wasaidizi wako na watendaji serikalini ndio inaonekana kua ni uchapakazi. Taratibu watu wataelewa kua maagizo ya mkuu wa nchi hata yakitolewa kwa kauli za staha yanatekelezwaKinachotenda kazi ni pitch ya sauti/tone au kusimamia Sheria Taratibu na kanuni za nchi???
Kumuongoza mwafrica kuna wakati ukali wa maneno unatakiwa na hiyo ni hulka ya kizazi chote cha ngozi nyeusi.Mtoa hoja acha kuwa na unafiki ba uchoyo wa ukweli,profile nzuri la jiji linalojiendesha kisheria ila unataka nchi yake iendeshwe kiamri,so far our President Samia kwa mimi binafsi she is doing very well na ninamwombea aendeleze hali hii,ukiwa baba au mama katili hata familia yako itakuwa ya kikatili
Aliwapiga mkwara viongozi wa dini pale Oeysterbay ( st. Peters ) kuvaa BarakoaMarehemu ameiharibu sana nchi hii. Kufokafoka na kuwatolea kashfa hadharani wasaidizi wako na watendaji serikalini ndio inaonekana kua ni uchapakazi. Taratibu watu wataelewa kua maagizo ya mkuu wa nchi hata yakitolewa kwa kauli za staha yanatekelezwa
Bahati mbaya Sana ,WATU wengi wenda hata fanya kazi za kiutawala hamjawai, aliesema kufoka Kama kiongozi ndo uongonzi, nani,?Mh rais kina wakati kauli tu hutoa onyo na amri ya kutekeleza, kuna namna naona inaelekea kukukwamisha katika maelekezo yako kwa waliochini yako
Nini kimekukuta? hata kwa mambo ya kukemea ukasikika na utekelezaji ukawa wa haraka?
lakin kwa namna unavyo toa maelekezo yako kwa hakika usitegemee utekelezaji unao utarajia.
Ulianza vizuri kwa kauli za kiuongozi lakini sasa umeanza kupoa tena sana kiasi kwamba utachezewa sharubu sana na
1.Wakwepa kodi
2.mawaziri wako
3.wezi wa mali za umma.
4.watumishi wa umma n.k
Mama kauli za kiuongozi huongeza utekelezaji , upole usizid utakwamishwa sio mda mambo yatasimama maana naona hata mawaziri sasa wamepoa sana sana kama hawapo.
Pitch INA matter + kutoa deadline ya utekelezaji bila hivyo watamuumiza sana mama.Kinachotenda kazi ni pitch ya sauti/tone au kusimamia Sheria Taratibu na kanuni za nchi???
Watz na sheria wapi na wapi?Kinachotenda kazi ni pitch ya sauti/tone au kusimamia Sheria Taratibu na kanuni za nchi???
Wewe endelea kudemka huku ukiimba Samia mi 10 tena na ccm mbele kwa mbeleNaombeni connection jamani na Mimi nipate upenyo huko iliko keki ya Taifa
Sifia kiti na kashifu 'bygone'Naombeni connection jamani na Mimi nipate upenyo huko iliko keki ya Taifa