Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
kuna wkt ila si mudawote.. lazima ujue kurofaurisha when to use force and when to use rule of law.Kumuongoza mwafrica kuna wakati ukali wa maneno unatakiwa na hiyo ni hulka ya kizazi chote cha ngozi nyeusi.
Akafa kesho yakeAliwapiga mkwara viongozi wa dini pale Oeysterbay ( st. Peters ) kuvaa Barakoa
CrapMh rais kina wakati kauli tu hutoa onyo na amri ya kutekeleza, kuna namna naona inaelekea kukukwamisha katika maelekezo yako kwa waliochini yako
Nini kimekukuta? hata kwa mambo ya kukemea ukasikika na utekelezaji ukawa wa haraka?
lakin kwa namna unavyo toa maelekezo yako kwa hakika usitegemee utekelezaji unao utarajia.
Ulianza vizuri kwa kauli za kiuongozi lakini sasa umeanza kupoa tena sana kiasi kwamba utachezewa sharubu sana na
1.Wakwepa kodi
2.mawaziri wako
3.wezi wa mali za umma.
4.watumishi wa umma n.k
Mama kauli za kiuongozi huongeza utekelezaji , upole usizid utakwamishwa sio mda mambo yatasimama maana naona hata mawaziri sasa wamepoa sana sana kama hawapo.
Katika nchi ambayo watu waliopewa dhamana ya kuongoza na kuwatumikia wananchi na maslahi ya nchi yao wameyatanguliza mbele na sio mambo yao binafsi hilo ulilosema ndio jinsi mambo yanavyotakiwa kwenda. Lakini ktk nchi nyingi hasa hizi za dunia ya tatu ukitegemea hizo kanuni na sheria na taratibu bila kuwakazia watu hakuna kitakachoenda.Kinachotenda kazi ni pitch ya sauti/tone au kusimamia Sheria Taratibu na kanuni za nchi???
Sasa msipende tuwe na dikteta mwingine wakati majeraha yaliyosababishwa na dikteta aliyepita bado mabichi .Mh rais kina wakati kauli tu hutoa onyo na amri ya kutekeleza, kuna namna naona inaelekea kukukwamisha katika maelekezo yako kwa waliochini yako
Nini kimekukuta? hata kwa mambo ya kukemea ukasikika na utekelezaji ukawa wa haraka?
lakin kwa namna unavyo toa maelekezo yako kwa hakika usitegemee utekelezaji unao utarajia.
Ulianza vizuri kwa kauli za kiuongozi lakini sasa umeanza kupoa tena sana kiasi kwamba utachezewa sharubu sana na
1.Wakwepa kodi
2.mawaziri wako
3.wezi wa mali za umma.
4.watumishi wa umma n.k
Mama kauli za kiuongozi huongeza utekelezaji , upole usizid utakwamishwa sio mda mambo yatasimama maana naona hata mawaziri sasa wamepoa sana sana kama hawapo.
hawa ni watu walikuzwa kwa kukemewa na kutukanwa. wasipopigwa biti wanaona hawajapewa maelekezo. baadhi ya miafrika kama minyani. watz piganieni kuimarisha taasisi badala ya mtu. huyo mtu hata akifa nchi itasonga tuuKinachotenda kazi ni pitch ya sauti/tone au kusimamia Sheria Taratibu na kanuni za nchi???
Mwache Mama afanye kazi. Kwani wewe nyumbani kwenu mama yako anakufokeafokea unapofanya makosa?. Kina mama ni watu wenye upendo.Mh rais kina wakati kauli tu hutoa onyo na amri ya kutekeleza, kuna namna naona inaelekea kukukwamisha katika maelekezo yako kwa waliochini yako
Nini kimekukuta? hata kwa mambo ya kukemea ukasikika na utekelezaji ukawa wa haraka?
lakin kwa namna unavyo toa maelekezo yako kwa hakika usitegemee utekelezaji unao utarajia.
Ulianza vizuri kwa kauli za kiuongozi lakini sasa umeanza kupoa tena sana kiasi kwamba utachezewa sharubu sana na
1.Wakwepa kodi
2.mawaziri wako
3.wezi wa mali za umma.
4.watumishi wa umma n.k
Mama kauli za kiuongozi huongeza utekelezaji , upole usizid utakwamishwa sio mda mambo yatasimama maana naona hata mawaziri sasa wamepoa sana sana kama hawapo.
Madikteta tunawatengeneza wenyewe kwa kauli kama za mtoa post, matendo ya dharau na kiburi kwa sheria na maelekezo rafiki ya viongozi na kukithiri kwa vitendo viovu, hata mama tukiendelea hivi tutambadilisha malaika kuwa shetani kisha tuanze kulia kwamba anaonea watu. Tumwache afanye kazi.Sasa msipende tuwe na dikteta mwingine wakati majeraha yaliyosababishwa na dikteta aliyepita bado mabichi .
Anajua anachokifanya. Anajua sisi ni binadamu sio mifugo ya kutuambia "tubaki na mavi yetu nyumbani"Mama kauli za kiuongozi huongeza utekelezaji , upole usizid utakwamishwa sio mda mambo yatasimama maana naona hata mawaziri sasa wamepoa sana sana kama hawapo.
Anaongea maneno matamu vitendo ndiyo changamotoMh rais kina wakati kauli tu hutoa onyo na amri ya kutekeleza, kuna namna naona inaelekea kukukwamisha katika maelekezo yako kwa waliochini yako
Nini kimekukuta? hata kwa mambo ya kukemea ukasikika na utekelezaji ukawa wa haraka?
lakin kwa namna unavyo toa maelekezo yako kwa hakika usitegemee utekelezaji unao utarajia.
Ulianza vizuri kwa kauli za kiuongozi lakini sasa umeanza kupoa tena sana kiasi kwamba utachezewa sharubu sana na
1.Wakwepa kodi
2.mawaziri wako
3.wezi wa mali za umma.
4.watumishi wa umma n.k
Mama kauli za kiuongozi huongeza utekelezaji , upole usizid utakwamishwa sio mda mambo yatasimama maana naona hata mawaziri sasa wamepoa sana sana kama hawapo.
Ni kweli lakini anatakiwa awe mfuatiliajiMadikteta tunawatengeneza wenyewe kwa kauli kama za mtoa post, matendo ya dharau na kiburi kwa sheria na maelekezo rafiki ya viongozi na kukithiri kwa vitendo viovu, hata mama tukiendelea hivi tutambadilisha malaika kuwa shetani kisha tuanze kulia kwamba anaonea watu. Tumwache afanye kazi.
Du hatari na nusuTeam Chato na SukumaGang mlishazoea kutesa watu na kufanya unyanganyi kwa kigezo cha kusema kuwa mkali!
Mnapoona fursa ya kuiba kwa unyanganyi haipo tena mnapagwa! Acha haki itendeke ndani ya nchi acheni unyang'au na ujambazi wenu!
Mtu unalipwa ml 3 kwa mwezi baada ya miaka mitatu tayari una bilion 3, then ujimwambafy unakusanya kodi wakati mlikuwa mnafanya ujambazi mtupu
Hahahaha nimecheka sana aisee mkuu you made my day [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Syo watu wote ni wasukuma.
Mwendazake hatunae, hatutaki kutukanwa, kodi ni hela zetu, lazma ziheshimiwe.
Jiwe ameumiza sana watu, kaleta ukabila, udini ukanda.na yuko motoni kwa sasa.
Wacha aende bana
Waziri gani kamsahau Rais jina lake?Mama inabidi awe mkali hata kama si kwa kauli basi iwe kwa vitendo!! Siku hizi mpaka mawaziri wanamchezea hijab kwa kuingia Bungeni wamelewa mpaka wanamsahau hata Jina lake!!! Mama tafadhali watumbue hawa kimya kimya bila kuwatangaza!!!
Kuwa mkali kwa kukemea sio kwamba ndio utendaji uliotukuka,kuongea kwa upole huchoma moyoni kuliko kukaripiwa,fanya utafiti vizuri!Mh rais kina wakati kauli tu hutoa onyo na amri ya kutekeleza, kuna namna naona inaelekea kukukwamisha katika maelekezo yako kwa waliochini yako
Nini kimekukuta? hata kwa mambo ya kukemea ukasikika na utekelezaji ukawa wa haraka?
lakin kwa namna unavyo toa maelekezo yako kwa hakika usitegemee utekelezaji unao utarajia.
Ulianza vizuri kwa kauli za kiuongozi lakini sasa umeanza kupoa tena sana kiasi kwamba utachezewa sharubu sana na
1.Wakwepa kodi
2.mawaziri wako
3.wezi wa mali za umma.
4.watumishi wa umma n.k
Mama kauli za kiuongozi huongeza utekelezaji , upole usizid utakwamishwa sio mda mambo yatasimama maana naona hata mawaziri sasa wamepoa sana sana kama hawapo.
Mkuu ukisharasimisha baadhi ya madaraka we ni kubaki kuwapima mabega viongonzi wao , kisimamia ,kulekebisha , na kutoa maelekezo , Sasa itokee kiongonzi WATU au tahasisi zilizochini yako zinaboronga , ni kuvulumishwa tu,tz ni simple Sana weka Mambo sawa mfanoHata mtoto ukimuagiza kitu anakuangalia na userious wako, huenda ikabidi urudie tena ndio atekeleze. Sasa tone pia inaweza kutuma ujumbe wa “seriousness” ya ujumbe wenyewe. Issue sio kwa sababu amesema Rais. Wapo wenye kumdharau Rais. Nchi kubwa hii.
Hata mtoto ukimuagiza kitu anakuangalia na userious wako, huenda ikabidi urudie tena ndio atekeleze. Sasa tone pia inaweza kutuma ujumbe wa “seriousness” ya ujumbe wenyewe. Issue sio kwa sababu amesema Rais. Wapo wenye kumdharau Rais. Nchi kubwa hii.
Kufoka foka haipo kweny rules za kiutawala, kufokafoka ipo kwenye hip-hop.Mh Rais kina wakati kauli tu hutoa onyo na amri ya kutekeleza, kuna namna naona inaelekea kukukwamisha katika maelekezo yako kwa waliochini yako
Nini kimekukuta? hata kwa mambo ya kukemea ukasikika na utekelezaji ukawa wa haraka?
lakin kwa namna unavyo toa maelekezo yako kwa hakika usitegemee utekelezaji unao utarajia.
Ulianza vizuri kwa kauli za kiuongozi lakini sasa umeanza kupoa tena sana kiasi kwamba utachezewa sharubu sana na
1. Wakwepa kodi
2. Mawaziri wako
3. Wezi wa mali za umma.
4. Watumishi wa umma n.k
Mama kauli za kiuongozi huongeza utekelezaji , upole usizid utakwamishwa sio mda mambo yatasimama maana naona hata mawaziri sasa wamepoa sana sana kama hawapo.
Ukali haujawahi kuwa ni approach nzuri ya kuongoza watuMh Rais kina wakati kauli tu hutoa onyo na amri ya kutekeleza, kuna namna naona inaelekea kukukwamisha katika maelekezo yako kwa waliochini yako