Rais Samia kwani una 'Tatizo' lolote lile hadi kila mara ujitokeze 'Matamasha' ya Kukuombea?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mtume wao Mwamposa alivyotonywa na Watu wa Mfumo wasio na Vifua vya Kutunza Siri kutokana na Viapo vyao kuwa ataondolewa Tanganyika Packers Kawe haraka sana akaandaa Tamasha la Kujipendekeza kwa Rais Samia kwa Kusema ni la Kumuombea akiwa na Mategemeo kuwa 'atalainishiwa' na hatoondolewa.

Lakini Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE ninazo ni kwamba sasa Mtume wao Mwamposa ataondoka rasmi hapo Mwezi Machi mwakani (2023) baada ya Kuomba ili apaandae vyema mahala pengine alikonunua Mbezi Beach Tangi Bovu Jirani na Kona Baa (Barabara ya zamani ya Goba)

Hivi Samjo Samjo (Muongo Muongo) Alex Msama na (Msama Promotions) yake wameandaa Tamasha lao CCM Kirumba Mkoani Mwanza tarehe 6 Novemba 2022 ili Kumuombea Rais Samia utadhani labda Daktari wake alimwambia kuwa ana Tatizo la Kiafya.

Samjo Samjo Alex Msama kwani hiyo Biashara yako Kubwa unayotaka Kuanzisha huko Mkoani Mwanza baada ya Kuukimbia Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na Madeni makubwa uliyonayo Umeambiwa haiwezi kuanza au kufanikiwa mpaka Ujipendekeze (Ujikombe) kwa Rais Samia na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Kinana ambaye ndiyo atskuwa Mgeni rasmi Siku hiyo?

Kama kuna Tamasha pekee la Kimaombezi ambalo GENTAMYCINE nitahudhuria (tena nitawahi mapema Uwanjani) ni pale nikiwasikia hawa akina Mtume Wao Mwamposa na sasa huyu 'Samjo Samjo' Alex Msama (Msama Promotions) wakisema tu kuwa kuna Tamasha Kubwa la Kuuondoa Upumbavu, Unafiki na Uwendawazimu ulioko ndani ya Jamii yetu Kubwa (japo siyo Wote) ya Watanzania.

Haisikitishi tu bali Inakera sana pia!
 
Kwani Rais akiombewa wewe unaumia nini???....unapungukiwa nini? huli/hulali?? acheni ujinga km huu!! Moderator piga Ban ya milele na kelele km hizi!
 
Acha Husda Ndugu
 
Back
Top Bottom