Rais Samia kwanini hasemi chochote popote kuhusu mambo muhimu?

Kusema na kuandika ni rahisi lakini kutenda ni mtihani.
 
Kaza... Jpm si alikua anasema mkasema anaingilia majukumu,

Subiri waziri wa ardhi yupo ataongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiujumla Serikali ya Mama imejikita katika Matumiz ya Akili si nguvu
Sema akili inayotumika ni akili ya Upigaji wa Panya "Ng'ata puliza"

Swala la wamasai ni hoja za wapinzani wanaodhani wamepata point ya kuikosoa serikali lakini kimsingi liko wazi tena clear

Akizungumza sana tutamfananisha na mjomba kila siku headlines yeye tu. Wapemba wanamdomo mwingi nyie bora akae kimya tu akianza kuongea hamalizi leo.
 
Ule utaratibu wa kuhutubia kila mwisho wa mwezi vp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…