Rais Samia kweli umedhamiria kukusanya Kodi za dhuluma hadi kwenye mbolea?

J K Kikwete akiongoza awamu ya sita.
 
Huko ambako serikali inaheshimu matakwa ya umma, siyo kwa sababu viongozi walikuwa watakatifu bali wananchi walikataa kata kata kuburuzwa.

Huku ambako funguo zote za maisha tumewakabidhi watawala, tuwe tayari kufanya chochote mtawala anachokitaka...
Kumbe angekuwa na akili angeanza kuula mpunga wenyewe ili apate nguvu ya kubeba magunia mengi zaidi.
 
J K Kikwete akiongoza awamu ya sita.

52,000 mpaka 92,000 mbona bei kubwa hivyoo mpaka ata nimeshindwa kuamini.
 
Huko ambako serikali inaheshimu matakwa ya umma, siyo kwa sababu viongozi walikuwa watakatifu bali wananchi walikataa kata kata kuburuzwa.

Huku ambako funguo zote za maisha tumewakabidhi watawala, tuwe tayari kufanya chochote mtawala anachokitaka...
Umenena
 
Lipeni KODI maendeleo na we we yanakuhusuuu.
 
Viongozi wa CCM ni wahuni nimeamini kwa hayo wanayoyafanya ni kama wanaigiza kwenye maisha ya Watanzania,inauma Sana.
 
Aendelee kupiga hapo hapo panapouma
 
Ingekuwa nchi nyingine Leo kingeshanuka lakini hapa kwetu nakumbuka kuna mwaka kulikuwa na wale watoto ' komando yoso' wanaume walikuwa wanalala uvunguni πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Yaani waliokuwa wanasifia saivi limewasimama tena kubwa! Ahahahaha

Maza kaza kamba wameanza kusisimuka ili Saidi kichwa wa Kongo azame ahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…