Rais Samia kwenda Kenya kimyakimya: Je, ni sahihi kwa Usalama wake? Kwanini Usalama wa Taifa wametuficha ziara ya Rais wetu kwenda Kenya?

Aondoke tu
 
mtapata sonona maana kila kitu afanyacho rais mnapinga. mnatia huruma maskini
Huruma ipi? Binafsi sio kwamba kila analofanya nalipinga ila naweka record sawa tu, Mama anapaswa kutengeneza parallel intelligence itakayomsaidia katika kufanya maamuzi na kuchukua hatua, akiendelea kutegemea ripoti za kina Said Nassoro ku deal na ushawishi wa kisiasa kwenye pembe ya Afrika mashariki atapotea.
 
official duties gani?

Sio anakuja kuomba msamaha kweli? na kuweka mambo sawa?
 
mtapata sonona maana kila kitu afanyacho rais mnapinga. mnatia huruma maskini
Waipate mara ngapi? "sonona" limewashika mpaka...


Hao ni wale wauzaji wa vitu vya "plomosheni", wamestukiwa vinavyopita bandarini, iliyobaki sasa ni chuki kwa kwenda mbele.

Mama kakata mrija mrefu kuiparaganya ile bodi aliyoikuta bandarini. Vimirija vilivyobaki vinakuja kusambaratishwa na DP World.


Hivi Kitila Mkumbo hajatangaza Mikataba ya bandarini? Naona anamngoja mama arudi.
 
Ameshaambiwa hilo
 
Eti alikaa siku mbili akisubiri kusuluhisha
Lazima kuna kitu kimetokea kule kiasi cha kumkera Raila na kuamua kufichua siri akijufanya ana aporeciate kumbe anawatonya watanzania kuhusu wasichokijua.
Lazima wamemfanya Raila ajione fala.
 
Mnamsema halafu alishawahi kusema ni mdau mzuri wa JF so huenda hii ameisoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…