Rais Samia kwenda Kenya kimyakimya: Je, ni sahihi kwa Usalama wake? Kwanini Usalama wa Taifa wametuficha ziara ya Rais wetu kwenda Kenya?

Rais Samia kwenda Kenya kimyakimya: Je, ni sahihi kwa Usalama wake? Kwanini Usalama wa Taifa wametuficha ziara ya Rais wetu kwenda Kenya?

Huyu ana tatizo limejificha mahali. Kuna taasisi hazifanyi kazi yake inavyotakiwa. Kiti kinapwaya sana.

Hata Kinana juzi aligusia kubadilisha urais 2025 kwa lugha ya ishara. Deep state wameshaamua kumng'oa. Ni suala la muda tu atajulishwa kuwa muda wake wa kushikilia nafasi iliyokuwa wazi umeisha. Aachie wenye sifa wachukue.
Aondoke tu
 
mtapata sonona maana kila kitu afanyacho rais mnapinga. mnatia huruma maskini
Huruma ipi? Binafsi sio kwamba kila analofanya nalipinga ila naweka record sawa tu, Mama anapaswa kutengeneza parallel intelligence itakayomsaidia katika kufanya maamuzi na kuchukua hatua, akiendelea kutegemea ripoti za kina Said Nassoro ku deal na ushawishi wa kisiasa kwenye pembe ya Afrika mashariki atapotea.
 
She played cheap politics. Alienda Kenya kwa mualiko wa Uhuru Kenyatta na Raila Odinga, akadhani Siasa za Kenya ni kama za CCM na Chadema akadhani atakua na ushawishi wa kumsihi Rutto afanye mazungumzo na Odinga kwa bahati mbaya Rutto akamuwekea tinted, hakuwa na namna ikabidi arudi nyumbani kimya kimya. What a shame. BTW Rutto kesho yuko TZ kwa official duties. Sema walevi huwa tunapeana matumaini sana.
official duties gani?

Sio anakuja kuomba msamaha kweli? na kuweka mambo sawa?
 
mtapata sonona maana kila kitu afanyacho rais mnapinga. mnatia huruma maskini
Waipate mara ngapi? "sonona" limewashika mpaka...

Hao ni wale wauzaji wa vitu vya "plomosheni", wamestukiwa vinavyopita bandarini, iliyobaki sasa ni chuki kwa kwenda mbele.

Mama kakata mrija mrefu kuiparaganya ile bodi aliyoikuta bandarini. Vimirija vilivyobaki vinakuja kusambaratishwa na DP World.

Hivi Kitila Mkumbo hajatangaza Mikataba ya bandarini? Naona anamngoja mama arudi.
 
Huyu ana tatizo limejificha mahali. Kuna taasisi hazifanyi kazi yake inavyotakiwa. Kiti kinapwaya sana.

Hata Kinana juzi aligusia kubadilisha urais 2025 kwa lugha ya ishara. Deep state wameshaamua kumng'oa. Ni suala la muda tu atajulishwa kuwa muda wake wa kushikilia nafasi iliyokuwa wazi umeisha. Aachie wenye sifa wachukue.
Ameshaambiwa hilo
 
Eti alikaa siku mbili akisubiri kusuluhisha
Lazima kuna kitu kimetokea kule kiasi cha kumkera Raila na kuamua kufichua siri akijufanya ana aporeciate kumbe anawatonya watanzania kuhusu wasichokijua.
Lazima wamemfanya Raila ajione fala.
 
Ndio nasikia hapa kwenye news citizen ..secret travel 2 days Kwa ndege ya jeshi Tena hotel huko porini. Raisi ni mtu nyeti hizi safari za design hii si salama kwake.....halafu trip yenyewe Rutto kampuuza vibaya according to Raila speech..ndio Sasa Rutto anakuja kesho Tanzania kuongea nae halafu akirudi Kenya ndio wakae chini na odinga.

Samia Trip yake Kenya ya Siri imekuwa ya dharau Sana Bora hata asingeenda..na why huende kabla ya confirmation ya uhakika ya kukutana na wahusika unaoneda kuonana nao?
Mnamsema halafu alishawahi kusema ni mdau mzuri wa JF so huenda hii ameisoma
 
Back
Top Bottom