Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Aondoke tuHuyu ana tatizo limejificha mahali. Kuna taasisi hazifanyi kazi yake inavyotakiwa. Kiti kinapwaya sana.
Hata Kinana juzi aligusia kubadilisha urais 2025 kwa lugha ya ishara. Deep state wameshaamua kumng'oa. Ni suala la muda tu atajulishwa kuwa muda wake wa kushikilia nafasi iliyokuwa wazi umeisha. Aachie wenye sifa wachukue.