Rais Samia kwenda Kenya kimyakimya: Je, ni sahihi kwa Usalama wake? Kwanini Usalama wa Taifa wametuficha ziara ya Rais wetu kwenda Kenya?

Ana matatizo makubwa sana. Anaenda kulazimisha kusuluhisha nchi za watu wakati ya kwake imemshinda?

Ndiyo maana wakamdharau na kumwacha huko ajisuluhishe mwwnyewe na machawa wake.
Alaah, huku ndani anatuzibia masikio kisha anaenda nje kusuluhisha?!
 
Me nawaza tu, huyu joyce banda alipokelewa na nani pale Jomo Kenyatta International Airport?
inasemekana huwa anaenda dubai mara kwa mara pia......najaribu kuwaza kama wewe pia!
imagine blackmail anayopigwa hapo[emoji23]
 
Tanzania? Hao deep state Toka lini hawapendi incompetence? Mbona hata huko jeshini ndio Kuna ufisadi wa kutosha? Hakuna Cha deep state Wala Nini wote wananufaika nchi ikiwa na ufisadi otherwise CCM ingeshatolewa madarakani 1995.
 
Kwa hiyo unaamini maneno ya Odinga ndo unaleta uzi humu? Hayo maneno yana ukweli wowote? Umethibitisha?
Ziara ya Mhe. Rais lazima ifahamike na itangazwe kwa wananchi wake. Ziara yake Kenya kama wananchi tulitakiwa tujue.
 
Ziara ya Mhe. Rais lazima ifahamike na itangazwe kwa wananchi wake. Ziara yake Kenya kama wananchi tulitakiwa tujue.
Koryo nade omera wacha aende bwana ale raha, Nairobi siyo Dar ina raha zake omera
 
Wakulaumiwa wanaomzunguka hasa Usalama wa taifa, Wao ndio wanaotakiwa wam guide katika Kila jambo analofanya sasa kwa inavyoonekana ni kana kwamba Rais ndio anawaambia usalama wa taifa nini Cha kufanya na mbaya zaid wanamfuata.
 
Sidhani kama Ruto angekubali kuongea na mtu ambaye anajua ni Pro -uhuru..........Ruto na Uhuru walikuwa Ikulu walikuwa hawaelewani na dunia nzima ililijua hilo,nayeye alishaenda mara kadhaa Kenya, kwanini asingewapatanisha wakati ule,RUTO anajua Samia,Uhuru ni rafiki yake mkubwa ndiyo maana kamkaushia tu
 
Siku 6?? Ni wiki mbili
 
“the president of Tanzania was here two weeks ago, by the invitation of president Ruto to mediate. We attended but president Ruto didn’t show up, she stayed for two days”.

Huyo ni mtu aliejiendea tu, au kaalikwa na raisi wa Kenya kufika huko mwenyeji ndio akutokea.

If anything Ruto asiichukulie Tanzania poa na kudhani anaweza ipotezea muda taasisi ya uraisi at whim. But then atujui kama aliongea na Ruto kwenye simu na kumpa sababu kwanini kaghairi.

Kama ilivyo hadha yetu kilichotokea na kinachodaliwa ni vitu viwili tofauti.
 
Ruto akija Tanzania naye amkimbie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…