MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,304
WEWE nani mpaka uambiwe kila kitu? Sio kila afanyacho Rais lazima wananchi wajueJe, ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?
Je, Mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?
---
View attachment 2699204
Pia soma: Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini
Source: Raila Odinga na BBC.