Ndio nasikia hapa kwenye news citizen ..secret travel 2 days Kwa ndege ya jeshi Tena hotel huko porini. Raisi ni mtu nyeti hizi safari za design hii si salama kwake.....halafu trip yenyewe Rutto kampuuza vibaya according to Raila speech..ndio Sasa Rutto anakuja kesho Tanzania kuongea nae halafu akirudi Kenya ndio wakae chini na odinga.
Samia Trip yake Kenya ya Siri imekuwa ya dharau Sana Bora hata asingeenda..na why huende kabla ya confirmation ya uhakika ya kukutana na wahusika unaoneda kuonana nao?