Rais Samia kwenda Kenya kimyakimya: Je, ni sahihi kwa Usalama wake? Kwanini Usalama wa Taifa wametuficha ziara ya Rais wetu kwenda Kenya?

Huyu ana tatizo limejificha mahali. Kuna taasisi hazifanyi kazi yake inavyotakiwa. Kiti kinapwaya sana.

Hata Kinana juzi aligusia kubadilisha urais 2025 kwa lugha ya ishara. Deep state wameshaamua kumng'oa. Ni suala la muda tu atajulishwa kuwa muda wake wa kushikilia nafasi iliyokuwa wazi umeisha. Aachie wenye sifa wachukue.
Hakuna kitu kinaitwa Deep state Tanzania hiyo ni misemo yenu tu huko mitaani CCM ndio wanamiliki nchi ukiwapanga vizur hao mazuzu bas hakuna wa kukuzuia kubakia madarakani na wakiamua wakutoe pia huna pa kukimbilia kwahiyo mchawi wa Tanzania ni CCM.
 
Wewe inaonekana una visa na raisi wetu.Unatafuta mwanya umshupalie. Mambo ya usuluhishi kwanza yakifanywa kimya kimya ndipo pahala pake.Magufuli kuna wakati alikimbia kampeni akenda kujificha mbali na haikuwa kosa.
Kubwa zaidi kumbe alikwenda kwa mwaliko wa raisi wa Kenya mwenyewe William Ruto kwa hivyo kama Ruto alikimbia basi Samia hana kosa kwenda na kama alikuwa na sababu ya kufanya hivyo lazima aeleze mwanzo kabla kupokelewa tena Tanzania.
 
Raisi anapotoka nje ya nchi usalama wake unakuwa chini ya nchi mwenyeji.

Hakuna raisi anaweza kwenda nchi nyingine bila ya wenyeji kufahamu ujio wake na kumuandalia security details in advance.

Story tu za JF hizi
 
Ndio nasikia hapa kwenye news citizen ..secret travel 2 days Kwa ndege ya jeshi Tena hotel huko porini. Raisi ni mtu nyeti hizi safari za design hii si salama kwake.....halafu trip yenyewe Rutto kampuuza vibaya according to Raila speech..ndio Sasa Rutto anakuja kesho Tanzania kuongea nae halafu akirudi Kenya ndio wakae chini na odinga.

Samia Trip yake Kenya ya Siri imekuwa ya dharau Sana Bora hata asingeenda..na why huende kabla ya confirmation ya uhakika ya kukutana na wahusika unaoneda kuonana nao?
Huyo mama wa rushwa ni wa kukurupuka sana. Nchi inateketea yeye anazurula tuu watu wanajipigia tuu kila kona. Ukiona hivyo ujue wataalam wamempangia ziara uchwara ili wapige dili akirudi anaanza kushangaa haaa hili mbona halikuwepo mmeliweka tena jamani ooh nonsense mara ooh stupid.
 
Je, ni busara kwa Rais Samia kwenda Kenya kwa siri bila Watanzania kujurishwa?

Je, Mama Samia anakwenda kusuruhisha Jirani huku Nyumbani haoni kama kuna cheche zinazoashiria moto?
---
View attachment 2699204

Pia soma: Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini

Source: Raila Odinga na BBC.
Unaenda kuzima moto kwa mwenzako wakati kwako pia moto unawaka? kweli wadanganyika wanadharaulika sana hata hawaonekanai kudai cha maana na kutiliwa maanani na watawala.
 
Samia yupo kama bado ni makamu wa rais.
 
Raisi anapotoka nje ya nchi usalama wake unakuwa chini ya nchi mwenyeji.

Hakuna raisi anaweza kwenda nchi nyingine bila ya wenyeji kufahamu ujio wake na kumuandalia security details in advance.

Story tu za JF hizi
Umesema nini hapo.Ni wazi alipokwenda Kenya chini ya mwaliko wa rais Ruto kila kitu kilikuwa kimetayarishwa.
 
Ana matatizo makubwa sana. Anaenda kulazimisha kusuluhisha nchi za watu wakati ya kwake imemshinda?

Ndiyo maana wakamdharau na kumwacha huko ajisuluhishe mwwnyewe na machawa wake.
Tolu anakosea sana, Hii ni Awamu Yao ya 5,

Tusubiri.
 
Vichekesho haviishi tu.kwake nchi imevurugika kwa mambo mengi ya hovyo kufanyika lakini anajidai kusuruhisha kwa wengine.
 
Hakuna kitu kinaitwa Deep state Tanzania hiyo ni misemo yenu tu huko mitaani CCM ndio wanamiliki nchi ukiwapanga vizur hao mazuzu bas hakuna wa kukuzuia kubakia madarakani na wakiamua wakutoe pia huna pa kukimbilia kwahiyo mchawi wa Tanzania ni CCM.
Deep State ipo duniani kote na huishi kwa manufaa ya wale wanomiliki nchi.

Mambo au ajenda kama haziendi DS hutuma "wajumbe" kutoa kauli moja au mbili ndipo utaona watu fulani wazito kujitokeza.

Kazi yao kubwa ni kuwaghilibu wananchi kupitia watu mbalimbali na pia kusukuma ajenda za serikali.

Ndo maana una watu wengine wadogowadogo kama Maulidi Kitenge na Nyerere ambao hupewa hata majukwaa ili kusukuma ajenda za serikali kwa gharama yoyote ile.

Ndipo wananchi wengi huanza kuamini kuwa Maulidi Kitenge na Nyerere ambao ni watu wasoelimika kuwa ni usalama wa taifa kumbe ni vibaraka na machawa tu.

Lakini hiyo haindoi ukweli kuwa hawa wako kwenye payroll ya Deep State.
 
Ruto amesema anakuja kwenye mkutano wa kimataifa Dar na akirudi atafurahi akikutana na Odinga face to face! Yaani anatupiga dongo kuwa wao hawaitaji third party kukutana bali ni kiherehere chetu!

Wenye kazi zao walipaswa kujua upepo ulivyo huko Kenya na ku advice accordingly badala ya hii aibu.
 
Watu mnapenda malalamiko ya rejareja
 
Huyu ana tatizo limejificha mahali. Kuna taasisi hazifanyi kazi yake inavyotakiwa. Kiti kinapwaya sana.

Hata Kinana juzi aligusia kubadilisha urais 2025 kwa lugha ya ishara. Deep state wameshaamua kumng'oa. Ni suala la muda tu atajulishwa kuwa muda wake wa kushikilia nafasi iliyokuwa wazi umeisha. Aachie wenye sifa wachukue.
SAMIAH SULUHU HASSAN 2025-2030,HILI HALINA MJADALA!,HAMTAFANIKIWA KUMGOMBANISHA YEYOTE.
 
Huyu ana tatizo limejificha mahali. Kuna taasisi hazifanyi kazi yake inavyotakiwa. Kiti kinapwaya sana.

Hata Kinana juzi aligusia kubadilisha urais 2025 kwa lugha ya ishara. Deep state wameshaamua kumng'oa. Ni suala la muda tu atajulishwa kuwa muda wake wa kushikilia nafasi iliyokuwa wazi umeisha. Aachie wenye sifa wachukue.
Ushuzi mtupu
 
Naona ni vigumu kumtema ila hakika ni debe tupu kabisa. Tunaojua tulijua hajui wala hana uwezo. Alilojua yeye ilikua moja tu kwamba magufuli alikua anamzibia upigaji yeye na jamaa zake. Akaanza kuwatupa nje magufulists na kuwarudisha ofisini wale vibaka wote waliyotemwa na jpm. Hakika katuharibia sana pale magufuli alipoifikisha nchi pia kuitoa kwenyeb direction. Ona oroho na ujinga ukipomfikisha hadi kuandikiana mkataba kukabidhi bandari za tanzania bara kwenye himaya ya ufame wa dubai. Ole wake. Salama yake ni kujiuzulu mwenyewe vinginevyo ataadhirika vibaya.
 
Back
Top Bottom