Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Rais Magufuli wakati wa kampeni alahidi kutoa ajira milioni 8, pia aliyekuwa kaimu waziri wa fedha kipindi cha Magufuli (Wakati Dk. Mpango akiwa anaumwa) Mwigulu Nchemba akisoma mpano wa bajeti ya 2020/2021 mwezi Februari alisema watatoa ajira milioni 12, iweje sasa Samia anatoa ajira elfu 40 pekee? kwa spidi hii hata kama miaka 5 ikipita hatutafikia hata ajira laki 2