Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Kwani kabla ya hapo yalikuwa hayaruhusiwi kuja kuwekeza nchini ?Makampuni yatepewa ruhusa na serikali kuingia nchini kufanya kazi ,hivyo yataajiri ajira rasmi na zisizo rasmi na kufikisha idadi tajwa ,hivyo jukumu hili ni la serikali kwa mapanae yake