Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Makampuni haya haya yaliyofilisiwa na TRA?!!!...za makampuni binafsi zinakuja lukuki
Mambo ni bam bam🤣🐒
kwani Serikali inatoa ajira kwenye makampuni binafsi? Maana Magufuli alisema Serikali ndio itatoaAjira milion 8 ni mpaka 2025,hizi walizotangaza ni za serikali ,za makampuni binafsi zinakuja lukuki,uwe mvumilivu kijana
Mama si ndio mbeba ilani?Ahadi ya kwenye ilani iko pale pale.
Hawa elfu 40 ni ahadi ya mama!
Makampuni yatepewa ruhusa na serikali kuingia nchini kufanya kazi ,hivyo yataajiri ajira rasmi na zisizo rasmi na kufikisha idadi tajwa ,hivyo jukumu hili ni la serikali kwa mapanae yakekwani Serikali inatoa ajira kwenye makampuni binafsi? Maana Magufuli alisema Serikali ndio itatoa
Rais Magufuli wakati wa kampeni alahidi kutoa ajira milioni 8, pia aliyekuwa kaimu waziri wa fedha kipindi cha Magufuli (Wakati Dk. Mpango akiwa anaumwa) Mwigulu Nchemba akisoma mpano wa bajeti ya 2020/2021 mwezi Februari alisema watatoa ajira milioni 12, iweje sasa Samia anatoa ajira elfu 40 pekee? kwa spidi hii hata kama miaka 5 ikipita hatutafikia hata ajira laki 2
View attachment 1770907
Achana na hizo za wakwepa kodi ,zinakuja ambazo zitaridhia matakwa ya maslahi ya pande mbili,stay tunedMakampuni haya haya yaliyofilisiwa na TRA?!!!
Hivi una akili kweli wewe ?Mbona linawezakana Mkuu..
40K wachache sana,mbali na hapo mwaka huu + mwaka jana kuna wazee walistaafu hivyo damu changa ambazo ni special.. zinatafutwa zikapige kazi.
Walimu wanastaafu,NSSF huko wanastaafu,sijui manini nini huko mara TRA huko + kada za afya nk