Rais Samia kwenye hili la ajira mpya umeturudisha nyuma alipotuachia Hayati Magufuli

Makampuni yatepewa ruhusa na serikali kuingia nchini kufanya kazi ,hivyo yataajiri ajira rasmi na zisizo rasmi na kufikisha idadi tajwa ,hivyo jukumu hili ni la serikali kwa mapanae yake
Kwani kabla ya hapo yalikuwa hayaruhusiwi kuja kuwekeza nchini ?
 
sasa hizo si hazina guarantee? maana makampuni yanaweza yasije kwa kiasi hicho. Yaani unaweza kuahidi mtu kitu halafu kitu chenyewe ni cha kutegemea kutoka kwa mtu wa tatu?
 
Swali jepesi,fahamu awamu ya nne makampuni mengi ya kitapeli(briefcase companies)zilijaa.
Awamu ya tano ikasafisha nyumba
 
Hapana ,yatakuja ,yamepiga foleni za kutosha ,yanasubiri kipyenga,yana munkari haswa
 
Ccm haijawahi kuwa mtetezi wa mwananchi.
 
Swali jepesi,fahamu awamu ya nne makampuni mengi ya kitapeli(briefcase companies)zilijaa.
Awamu ya tano ikasafisha nyumba
Mimi nilitaka kujua zamani wawekezaji walikuwa hawaruhusiwi kuja kuwekeza nchini ?

Hayo ya awamu ya nne na tano yametoka wapi ?
 
Mwendazake alikuwa anaishi kwenye FAKE world. Alipo pata FAKE PhD akaamua adanganye kila kitu.

Hakuna kitu Magufuli ambacho alikifanya au kukiwasilisha kama kilivyo.

Naamini JPM siyo mtoto wa Magufuli, atakuwa alitufanganya kama kawaida yake.
 
Mimi nilitaka kujua zamani wawekezaji walikuwa hawaruhusiwi kuja kuwekeza nchini ?

Hayo ya awamu ya nne na tano yametoka wapi ?
Ili kubalansi story yako ingependeza kwenye uzi huu na Magufuli angekuwa hai ,kwa sasa hii ni porojo tu
 
Ngoja tusubiri na tuone,muda ndio utakaosema
 
Hizo za wafanyakazi serikalini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…