Pre GE2025 Rais Samia, kwenye mabadiliko Madogo, Jumaa Aweso na Dorothy Gwajima tunaomba usiwaguse

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Salaam Wakuu,

Nadhani mtakubaliana nami kwamba hawa ni miongoni mwa Mawaziri wanaofanya vizuri.

Juma Aweso, Dorothy Gwajima na Dotto Biteko, ndo aina ya Mawaziri Tanzania inataka kuwaona.
View attachment 3020019Waziri Dkt. Dorothy Gwajima

Biteko kinachomkwambisha kazi ni nyingi. Anazidiwa.

Napendekeza apewe manaibu Waziri wawili. Mmoja awe Tanesco na mwingine akomae na Rea pamoja na taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati.

Jirani yake Kassim Majaliwa Pale Makambi Mjini Songea, Dada Jenista Mhagama atulie hapo hapo.
View attachment 3020021
WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso

Ila pia nashauri Mkwe wetu Mchengerwa aondolewe Tamisemi ili Dr. Mkenda akafanye kazi mambo aliyosomea Tamisemi.

Mchengerwa apelekwe Muungano na Mazingira, na Jafo apelekwe Wizara ya Utalii.

Abdallah Ulega na Damas Ndumbaro wapangiwe kazi nyingine.

Ashantu Kijaji apewe Manaibu Wawili wapya na mmoja awe Viwanda Mwingine Biashara.

Kilimo apewe Luhaga Mpina ili tuone Kelele zake kama zinaendana na Vitendo.
Apige watu chini kwenye vyuo na secta nyingine Kuna watu wenye weledi wakazi hii hamishahamisha sio sawa
 
Aya ya mwisho umeonesha chuki na visasi vyako!! Kabla ya Mpina tumewahi kuwa na wapiganaji wazuri sana sana akiwemo Zito na Tumbiri!! Hawa wote walitaka vyeo?

Ni Tumbili tu siku hizi ndo anatafuta vyeo kupitia Kwa bi mdogo wake Lucas
 
Salaam Wakuu,

Nadhani mtakubaliana nami kwamba hawa ni miongoni mwa Mawaziri wanaofanya vizuri.

Juma Aweso, Dorothy Gwajima na Dotto Biteko, ndo aina ya Mawaziri Tanzania inataka kuwaona.
View attachment 3020019Waziri Dkt. Dorothy Gwajima

Biteko kinachomkwambisha kazi ni nyingi. Anazidiwa.

Napendekeza apewe manaibu Waziri wawili. Mmoja awe Tanesco na mwingine akomae na Rea pamoja na taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati.

Jirani yake Kassim Majaliwa Pale Makambi Mjini Songea, Dada Jenista Mhagama atulie hapo hapo.
View attachment 3020021
WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso

Ila pia nashauri Mkwe wetu Mchengerwa aondolewe Tamisemi ili Dr. Mkenda akafanye kazi mambo aliyosomea Tamisemi.

Mchengerwa apelekwe Muungano na Mazingira, na Jafo apelekwe Wizara ya Utalii.

Abdallah Ulega na Damas Ndumbaro wapangiwe kazi nyingine.

Ashantu Kijaji apewe Manaibu Wawili wapya na mmoja awe Viwanda Mwingine Biashara.

Kilimo apewe Luhaga Mpina ili tuone Kelele zake kama zinaendana na Vitendo.
Unavyopanga sasa kama wewe ndio rais mwenyewe 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom