Pre GE2025 Rais Samia, kwenye mabadiliko Madogo, Jumaa Aweso na Dorothy Gwajima tunaomba usiwaguse

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na kwenye sukari vipi napo akaushe tu?
 
Huyo jamaa ktk mawaziri wote tz ndo waziri pekees anaejua kwamba yuko kwa ajiri ya wananchi.Big up sana Jery slaaa umeonesha vijana akipewa madaraka wanaweza.
Hakuna analolifanya, anachofanya sio kazi yake, ni sawa na jaji kusikiliza kesi za mahakama ya mwanzo, amezidiwa kwa mbali sana na mtangulizi wake wa kiume achana na huyu Mabula aliyetolewa juzi.
 
Tumekiona kikosi chako ingawa sidhani kama kinaweza kuleta ushindi wa kweli kwenye timu yetu pendwa
 
Jenista Mhagama atolewe huyu mama ni useless. Japo ni mbunge wangu lakini hafaiii.

Atokeeeeeeee
 
Hakuna analolifanya, anachofanya sio kazi yake, ni sawa na jaji kusikiliza kesi za mahakama ya mwanzo, amezidiwa kwa mbali sana na mtangulizi wake wa kiume achana na huyu Mabula aliyetolewa juzi.
Mm kwangu naona anajitahidi kuna uozo mkubwa sana ardhi
 
Wee mtoa mada hebu tulia, watu wanavyolia miezi 6 sasa hawapati maji huoni?
Hapo anayefanya kazi ikaonekana na anasaidia ni Waziri wa Ardhi. Wengi ni mzigo kwa Serikali.
 
Kwa hiyo Aweso ndo Waziri mzuri! Nchi hii inawajinga wengi sana!
 
Kwa mabadiliko haya ya mara kwa mara, bado unaamini shida ni MAWAZIRI na WATEULE wengine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…