Rais Samia lazima awe Mwenyekiti CCM

Rais Samia lazima awe Mwenyekiti CCM

CCM legacy mshakubali yeshee? nawauliza nyie timu Mwendazake - si mliapa lazima Mwenyekiti atoke kanda ile ile sasa leo vip tena?
 
Tangu zamani watoto walilala pamoja na wageni; lakini mlawiti mmoja ndiye aliyewafanya wazazi waone umhimu wakutenganisha watoto na wageni!

Unapouliza Kwanini sasa na Mimi nitakuuliza unataka hadi watoto wangapi walawitiwe?
Kutenganisha kofia ya urais na uenyekiti ni mhimu!
Hi kampeni yako ya kihuni haitofanikiwa
 
Back
Top Bottom