Tatizo ni kukithiri kwa rushwa kwenye hiyo idaraHayo yote mnayajua ila mnajizima data yaani kuna Watu mpaka sasa hivi wanaamini Mahakamani ni sehemu ya kupata haki ila ukweli ni kwamba katika Watu watakaongoza gwaride la kwenda jehannam baada ya Polisi ni Mahakimu wajinga hawa...
Hata Mimi hapo huwa nashindwa kuelewa. Serikali imeshaona tatizo, na kulielewa - tunategemea ije na solution; sio kulalamika. Ni sawasawa na yule PM mwingine, alikuwa analia akisikia Albino ameuawa au kukatwa kiungo - wakati ana vyombo vya ulinzi viko chini yake - unaona kabisa hapa kuna tatizo kwa huyu Bwana Mkubwa, Badala ya kuwashughulikia wahalifu, Yeye analia.Pale serikali inapolalamika.
Huyu Mama ana anza kujichanganya sasa.Rais Samia Suluhu Hassan amesema “Tulikuwa tunaangalia magereza yetu tukabaini waliofungwa na walio mahabusu idadi yao ni kama ilikuwa sawa, wengi wao ni kesi za kubambikwa ndio maana unakuta mtu yupo ndani miaka mitatu, haendi mahakamani, haulizwi na hakuna kesi ya maana.
“Tulichofanya ni kuwatoa magereza yakapata kupumua, msipofanya haki, mnapochukua rushwa kumtia mtu hatiani ambaye hana hatia na mwenye hatia mkamuacha nje anaendeleza ubabe akiamini pesa yake itambeba, ambaye hana hela anaishia jela.
“Usiangalie Duniani, umechukua fedha sawa, imekufanya umekuwa nani, imekufikisha wapi, matatizo yako ya Dunia yameisha, ni ushawishi tu wa akili, itendeeni haki sheria.”
Amesema hayo Novemba 24, 2022 alipokuwa akizungumza katika ufunguzi wa mkutano wa wanasheria wa 27 Afrika Mashariki unaofanyika Jijini Arusha.
Yeye ndie Baba mwenye nyumba, baraka ana zipata wapi kama hawachukulii hatua alio wateua na wana fanya uonevu wa wazi?Huyu Mama kwa hili atabarikiwa sana!.
P
Halafu hakuna hata mmoja aliyewajibishwaNani anashituka kwa maneno hayo, kama ushahidi wa watu kubambikiwa kesi upo, na ushahidi kwamba wenye pesa wako nje, serikali imewachukulia hatua gani wahusika?
Ivi mnajua nani anatakiwa kudhibiti hayo yote anayo yasema?Huyu Mama kwa hili atabarikiwa sana!
P
Hawezi kubarikiwa kwa kusema vitu ambavyo tunavijua miaka mingi.Huyu Mama kwa hili atabarikiwa sana!
P
Nchi ngumu sana hiiRais Samia Suluhu Hassan amesema “Tulikuwa tunaangalia magereza yetu tukabaini waliofungwa na walio mahabusu idadi yao ni kama ilikuwa sawa, wengi wao ni kesi za kubambikwa ndio maana unakuta mtu yupo ndani miaka mitatu, haendi mahakamani, haulizwi na hakuna kesi ya maana.
“Tulichofanya ni kuwatoa magereza yakapata kupumua, msipofanya haki, mnapochukua rushwa kumtia mtu hatiani ambaye hana hatia na mwenye hatia mkamuacha nje anaendeleza ubabe akiamini pesa yake itambeba, ambaye hana hela anaishia jela.
“Usiangalie Duniani, umechukua fedha sawa, imekufanya umekuwa nani, imekufikisha wapi, matatizo yako ya Dunia yameisha, ni ushawishi tu wa akili, itendeeni haki sheria.”
Amesema hayo Novemba 24, 2022 alipokuwa akizungumza katika ufunguzi wa mkutano wa wanasheria wa 27 Afrika Mashariki unaofanyika Jijini Arusha.
Kesho na keshokutwa wanaapisha Maharamiaumekuwa nani, imekufikisha wapi, matatizo yako ya Dunia yameisha, ni ushawishi tu wa akili, itendeeni haki sheria.”
Huyu maza huwa kazi kubwa ni kulalamika tu hakuna hatua zozoteRais Samia Suluhu Hassan amesema “Tulikuwa tunaangalia magereza yetu tukabaini waliofungwa na walio mahabusu idadi yao ni kama ilikuwa sawa, wengi wao ni kesi za kubambikwa ndio maana unakuta mtu yupo ndani miaka mitatu, haendi mahakamani, haulizwi na hakuna kesi ya maana.
“Tulichofanya ni kuwatoa magereza yakapata kupumua, msipofanya haki, mnapochukua rushwa kumtia mtu hatiani ambaye hana hatia na mwenye hatia mkamuacha nje anaendeleza ubabe akiamini pesa yake itambeba, ambaye hana hela anaishia jela.
“Usiangalie Duniani, umechukua fedha sawa, imekufanya umekuwa nani, imekufikisha wapi, matatizo yako ya Dunia yameisha, ni ushawishi tu wa akili, itendeeni haki sheria.”
Amesema hayo Novemba 24, 2022 alipokuwa akizungumza katika ufunguzi wa mkutano wa wanasheria wa 27 Afrika Mashariki unaofanyika Jijini Arusha.
Utadhani naye ni bodaboda maana kila siku analalamika lakini hachukui hatua zozoteNi vigumu sana kudhania, mie kuna mda nashindwa kutofautisha kati ya yeye na rais was TAWLA. Kumbe anaongoza nchi
Ma-njaaIla nimekusoma Mwendazake alishatupa maana halisi ya jina lako Mayala kwa Kiswahili!!!
Kwa maneno au vitendo???Huyu Mama kwa hili atabarikiwa sana!.
P