Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Unamaanosha mimi ni panya?, panya ndiye anayeng'ata na kupuliza, mimi nimeng'ata wapi, nimepuliza wapi?.Alafu Mayala unapenda sana kungata na kupuliza kwa wakati mmoja!! hahahaha!!!!
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanosha mimi ni panya?, panya ndiye anayeng'ata na kupuliza, mimi nimeng'ata wapi, nimepuliza wapi?.Alafu Mayala unapenda sana kungata na kupuliza kwa wakati mmoja!! hahahaha!!!!
Hapo msumari wa motoKumbe anaijua haki tatizo anaiogopa pale anapoona kuna dalili ya maslahi yake kuingiliwa, awaache wapinzani wafanye mikutano ya siasa kwani ndio haki yao, na asiwabambikie kesi wale wanaotoa maoni hasa kuhusu Katiba Mpya.
Na ya jana?Huyu Mama kwa hili atabarikiwa sana!.
P
Penye jema acha tupongeze mkuu na penye baya natukosoe lakini kwa hili ulipaswa kupongezaHapo msumari wa moto
Sawa hata mimi sijapinga lakini hapo anaongea tu kwa nini hataki manadiliko ya kisheria na kimfumo ili kudhibiti hayo yasitokee na badala yake tusubiri tu huruma ya mtu?Penye jema acha tupongeze mkuu na penye baya natukosoe lakini kwa hili ulipaswa kupongeza
Kwenye swala la maendeleo hasa Yanayo gusa maisha ya watu wengi
TUnapaswa kuweka chuki binafsi pembeni
Mkuu jera watu Wana teseka Nisha fika kunamtu aliokota risasi akaenda kuipeleka police kama raia mwema Cha ajabu police waka mwambia aonyeshe na bunduki yake
Kuna watu wame kamatwa kwa kesi za uzurulaji wamefika police wakapewa murder case
Nahii si hadithi me mwenyewe nimeingia kule na kuya kuta haya ninayo kumbia hapa kwa kusingiziwa nilipoteza kazi nikaharibiwa Kila kitu
Nashukuru mungu nilishinda na nipo huru na kazini nime Rudi kwahiyo kwa hili huwezi kuelewa mpaka litakapo kufika kwa sisi yalio tukuta
Samia abarikiwe
Mkuu LESIRIAMU, kwenye utawala wa nchi, kuna vitu vingi vinatokea na kufanyika kwa idhini ya mkuu wa nchi lakini sio kwa utashi wake!, na kuna baadhi ya watendaji wa serikali wanafanya mambo ya ukatili wa ajabu, na kuonekana kama mashetani, kumbe ni walikuwa wanatekeleza maagizo.Kingai alimbambikia kesi Mbowe na walinzi wake. Leo Kingai kapandishwa cheo na huhyu huyu Mama.
Hivi Mh Rais kwa mawazo yake, ana amini Kingai ata acha tabia ya kubambikia watu kesi kweli?
Unapo hitaji kumpa mtu nafasi ya kukusaidia nadhani una takiwa uwe na taarifa za utendaji wake.
Je inaweza kuwa hukujua ni Kingai gani una mpa cheo cha DPP?
Watanzania tuna bahati sana kua na Rais anaesimamia haki za wananchi na nchi piaRais Samia Suluhu Hassan amesema “Tulikuwa tunaangalia magereza yetu tukabaini waliofungwa na walio mahabusu idadi yao ni kama ilikuwa sawa, wengi wao ni kesi za kubambikwa ndio maana unakuta mtu yupo ndani miaka mitatu, haendi mahakamani, haulizwi na hakuna kesi ya maana.
“Tulichofanya ni kuwatoa magereza yakapata kupumua, msipofanya haki, mnapochukua rushwa kumtia mtu hatiani ambaye hana hatia na mwenye hatia mkamuacha nje anaendeleza ubabe akiamini pesa yake itambeba, ambaye hana hela anaishia jela.
“Usiangalie Duniani, umechukua fedha sawa, imekufanya umekuwa nani, imekufikisha wapi, matatizo yako ya Dunia yameisha, ni ushawishi tu wa akili, itendeeni haki sheria.”
Amesema hayo Novemba 24, 2022 alipokuwa akizungumza katika ufunguzi wa mkutano wa wanasheria wa 27 Afrika Mashariki unaofanyika Jijini Arusha.
Swali zuri Sana🤝Nani anashituka kwa maneno hayo, kama ushahidi wa watu kubambikiwa kesi upo, na ushahidi kwamba wenye pesa wako nje, serikali imewachukulia hatua gani wahusika?
Okey sawa mkuu nilikuwa na maanisha unge fanya hivi..HSawa hata mimi sijapinga lakini hapo anaongea tu kwa nini hataki manadiliko ya kisheria na kimfumo ili kudhibiti hayo yasitokee na badala yake tusubiri tu huruma ya mtu?