Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
Kampuni inafanya vizuri ndani ya kampuni inayofanya vibaya kwa nje..kuna kizuri hapo???kuna uzuri gani unaofanyika na sub-contractors ndani ambao bado hata hivyo umeshindwa kuiondoa TTCL hapo ilipo.."Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae nikagundua una biashara ndani ya TTCL na kwa sababu kampuni ile inafanya vizuri na ndio maana imemuwezesha kijana yule nae kufanya vizuri nikasema hapana, usiende mahali ambapo una biashara, itakuwa conflict of interest. Nikaona sasa nikupe u postamasta mkuu" Amesema Rais Samia.
Sema Ma shaa Allah. Unataka niwe kipagani kama wewe?Upo kidini zaidi ndio miwani ya mbao uliyovaa
USSR
Mother anatuona sisi vilaza.Kwa nini alimtoa Tanesco ambako hana biashara?TANESCO alikuwa na nini?
Uzi wako haukutakiwa kuungwa na Uzi wa Roving Journalist.Ndio kama mlivyosikia , kumbe kilichomuondoa Maharage pale TTCL ni biashara yake na shirika hilo .
Sasa anayefahamu biashara atuambie .
Tatizo la teuzi za kishikaji bila kufanya vetting haya ndiyo matokeo yake mtu kabla hata hajaanza kazi anatumbuliwa.Rais Samia amesema amemhamisha Maharage Chande kutoka TCCL ili kuondoa mgongano wa kimaslahi kwa kuwa ana biashara na taasisi hiyo.
"Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae nikagundua una biashara ndani ya TTCL na kwa sababu kampuni ile inafanya vizuri na ndio maana imemuwezesha kijana yule nae kufanya vizuri nikasema hapana, usiende mahali ambapo una biashara, itakuwa conflict of interest. Nikaona sasa nikupe u postamasta mkuu" Amesema Rais Samia.
Aidha, Rais Samia amebainisha kuwa Postamasta wa sasa amekwenda kwenye mafunzo na akirudi atapangiwa kazi nyingine. Amemtaka Maharage kwenda kuikuza sekta hiyo ili iende kidigitali.
Rais Samia amesema taarifa za mambo yanayofanywa na watendaji ziwe zinaandikwa na kutumwa ili aweze kuelewa vyema wakati wa kutoa maamuzi na kuondoa changamoto ya kuondoa watu wanaostahili kuwepo kwenye sehemu husika.
Kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia ametoa miezi 6 kwa mkurugenzi wa sasa ili aweze kuondoa tatizo hili linalochangiwa na mambo mengi ikiwemo mabadiliko ya hali ya hewa na ukarabati wa mitambo.
"Tatizo la kukatika kwa umeme si la mtu, ni letu kitaifa. Kwa hiyo sasa tumejipanga vizuri, tunafanya ukarabati wa hizo mashine, lakini pia tuna mipango mingine ya kujenga substations, kuunganisha mikoa kwenye gridi ili umeme usikatike. Kwa hiyo, nenda kaanzie pale Maharage alipoishia. Najua utaweza, nakupa miezi 6, nakuangalia pale TANESCO. Kazi yako ya kwanza kusimamia ukarabati wa mitambo, lakini baada ya miezi 6 nisisikie kelele za kukatika kwa umeme"ii
Mwenye nguvu mpishe ili usidhurikeUzi wako haukutakiwa kuungwa na Uzi wa Roving Journalist.
Njo kivingine, Kuna HOJA ya kujadili.Mwenye nguvu mpishe ili usidhurike
Akipanga kuunga nyuzi ataunga tu hata zikiwa 10 , nawajua watu hawa kutokana na uzoefu wangu humu JFNjo kivingine, Kuna HOJA ya kujadili.
Nakubaliana nawe,Akipanga kuunga nyuzi ataunga tu hata zikiwa 10 , nawajua watu hawa kutokana na uzoefu wangu humu JF
Huelewi maana ya Reconciliation, Resilience, Reform na Rebuilding.Jipya la kuteua na kutengua kila siku!!!
Hiyo mitambo tuliambiwa na January inakarabatiwa bado tu!!!!
Unajuwa atarudi lini?Ila hajamtendea haki postmaster aliykuwepo kabla ya maharage. Jamaa alikuwa anaenda vizuri na mambo yalikuwa yametulia.
Sasa ni kipi ambacho Nape alikua akishangilia Maharagwe kupelekwa TTCL? Si anatakiwa na yeye Nape apigwe chini kwa kushindwa kumshauri rais?Rais Samia amesema amemhamisha Maharage Chande kutoka TCCL ili kuondoa mgongano wa kimaslahi kwa kuwa ana biashara na taasisi hiyo.
"Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae nikagundua una biashara ndani ya TTCL na kwa sababu kampuni ile inafanya vizuri na ndio maana imemuwezesha kijana yule nae kufanya vizuri nikasema hapana, usiende mahali ambapo una biashara, itakuwa conflict of interest. Nikaona sasa nikupe u postamasta mkuu" Amesema Rais Samia.
Aidha, Rais Samia amebainisha kuwa Postamasta wa sasa amekwenda kwenye mafunzo na akirudi atapangiwa kazi nyingine. Amemtaka Maharage kwenda kuikuza sekta hiyo ili iende kidigitali.
Rais Samia amesema taarifa za mambo yanayofanywa na watendaji ziwe zinaandikwa na kutumwa ili aweze kuelewa vyema wakati wa kutoa maamuzi na kuondoa changamoto ya kuondoa watu wanaostahili kuwepo kwenye sehemu husika.
Kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia ametoa miezi 6 kwa mkurugenzi wa sasa ili aweze kuondoa tatizo hili linalochangiwa na mambo mengi ikiwemo mabadiliko ya hali ya hewa na ukarabati wa mitambo.
"Tatizo la kukatika kwa umeme si la mtu, ni letu kitaifa. Kwa hiyo sasa tumejipanga vizuri, tunafanya ukarabati wa hizo mashine, lakini pia tuna mipango mingine ya kujenga substations, kuunganisha mikoa kwenye gridi ili umeme usikatike. Kwa hiyo, nenda kaanzie pale Maharage alipoishia. Najua utaweza, nakupa miezi 6, nakuangalia pale TANESCO. Kazi yako ya kwanza kusimamia ukarabati wa mitambo, lakini baada ya miezi 6 nisisikie kelele za kukatika kwa umeme"
Ina maana wanaofanya vetting ya viongozi huwa hawajui haya mambo?
Hakuna vetting.Ina maana wanaofanya vetting ya viongozi huwa hawajui haya mambo?