Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
NakaziaHakuna jipya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaHakuna jipya
Nchi imemshinda huyounaweza fikiri anaongea na watoto kumbe ni nchi yenye mamilioni ya watu …
Kabisa ni wapuuziHivi kumbe kuna watu wanaangaliaga TBC 1 na channel zote za makada wa CCM zinazorushaga live matukio ya mama Abdu?
Maajabu ya ujinga y ataendelea kuwepo bongo 😁
Hamna kazi humo ni hovyo sana yaaniTuacheni unafiki huyu Mama uwezo mdogo sana
Rais Samia amesema amemhamisha Maharage Chande kutoka TCCL ili kuondoa mgongano wa kimaslahi kwa kuwa ana biashara na taasisi hiyo.
"Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae nikagundua una biashara ndani ya TTCL na kwa sababu kampuni ile inafanya vizuri na ndio maana imemuwezesha kijana yule nae kufanya vizuri nikasema hapana, usiende mahali ambapo una biashara, itakuwa conflict of interest. Nikaona sasa nikupe u postamasta mkuu" Amesema Rais Samia.
Aidha, Rais Samia amebainisha kuwa Postamasta wa sasa amekwenda kwenye mafunzo na akirudo atapangiwa kazi nyingine. Amemtaka Maharage kwenda kuikuza sekta hiyo ili iende kidigitali.
Rais Samia amesema taarifa za mambo yanayofanywa na watendaji ziwe zinaandikwa na kutumwa ili aweze kuelewa vyema wakati wa kutoa maamuzi na kuondoa changamoto ya kuondoa watu wanaostahili kuwepo kwenye sehemu husika.
Kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia ametoa miezi 6 kwa mkurugenzi wa sasa ili aweze kuondoa tatizo hili linalochangiwa na mambo mengi ikiwemo mabadiliko ya hali ya hewa na ukarabati wa mitambo
"Tatizo la kukatika kwa umeme si la mtu, ni letu kitaifa. Kwa hiyo sasa tumejipanga vizuri, tunafanya ukarabati wa hizo mashine, lakini pia tuna mipango mingine ya kujenga substations, kuunganisha mikoa kwenye gridi ili umeme usikatike. Kwa hiyo, nenda kaanzie pale maharage alipoishia. Najua utaweza, nakupa miezi 6, nakuangalia pale TANESCO. Kazi yako ya kwanza kusimamia ukarabati wa mitambo, lakini baada ya miezi 6 nisisikie kelele za kukatika kwa umeme"
Mbuzi Wa Bwana Heri Kala Mahindi Ya Bwana HeriHakuna jipya
Hapo Sasa Utaona Nchi ImeozaHakulijua Hilo kabla ya kumuhamisha?
wewe unavyo vyote..ni kiziwi na kipofu ndio maana hujui unachoandika.Macho mnayo lakini hayaoni, masikio mnayo lakini hayasikii.
Kipofu tutegemee ataona jipya lipi? Kiziwi tutegemee atasikia jipya lipi?
Rais Samia amesema amemhamisha Maharage Chande kutoka TCCL ili kuondoa mgongano wa kimaslahi kwa kuwa ana biashara na taasisi hiyo.
"Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae nikagundua una biashara ndani ya TTCL na kwa sababu kampuni ile inafanya vizuri na ndio maana imemuwezesha kijana yule nae kufanya vizuri nikasema hapana, usiende mahali ambapo una biashara, itakuwa conflict of interest. Nikaona sasa nikupe u postamasta mkuu" Amesema Rais Samia.
Aidha, Rais Samia amebainisha kuwa Postamasta wa sasa amekwenda kwenye mafunzo na akirudi atapangiwa kazi nyingine. Amemtaka Maharage kwenda kuikuza sekta hiyo ili iende kidigitali.
Rais Samia amesema taarifa za mambo yanayofanywa na watendaji ziwe zinaandikwa na kutumwa ili aweze kuelewa vyema wakati wa kutoa maamuzi na kuondoa changamoto ya kuondoa watu wanaostahili kuwepo kwenye sehemu husika.
Kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia ametoa miezi 6 kwa mkurugenzi wa sasa ili aweze kuondoa tatizo hili linalochangiwa na mambo mengi ikiwemo mabadiliko ya hali ya hewa na ukarabati wa mitambo.
"Tatizo la kukatika kwa umeme si la mtu, ni letu kitaifa. Kwa hiyo sasa tumejipanga vizuri, tunafanya ukarabati wa hizo mashine, lakini pia tuna mipango mingine ya kujenga substations, kuunganisha mikoa kwenye gridi ili umeme usikatike. Kwa hiyo, nenda kaanzie pale Maharage alipoishia. Najua utaweza, nakupa miezi 6, nakuangalia pale TANESCO. Kazi yako ya kwanza kusimamia ukarabati wa mitambo, lakini baada ya miezi 6 nisisikie kelele za kukatika kwa umeme"
Tutulie ukarabati wa Mitambo unaendelea!!Ujinga tu na kupoteza muda.
Rais Samia amesema amemhamisha Maharage Chande kutoka TCCL ili kuondoa mgongano wa kimaslahi kwa kuwa ana biashara na taasisi hiyo.
"Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae nikagundua una biashara ndani ya TTCL na kwa sababu kampuni ile inafanya vizuri na ndio maana imemuwezesha kijana yule nae kufanya vizuri nikasema hapana, usiende mahali ambapo una biashara, itakuwa conflict of interest. Nikaona sasa nikupe u postamasta mkuu" Amesema Rais Samia.
Aidha, Rais Samia amebainisha kuwa Postamasta wa sasa amekwenda kwenye mafunzo na akirudo atapangiwa kazi nyingine. Amemtaka Maharage kwenda kuikuza sekta hiyo ili iende kidigitali.
Rais Samia amesema taarifa za mambo yanayofanywa na watendaji ziwe zinaandikwa na kutumwa ili aweze kuelewa vyema wakati wa kutoa maamuzi na kuondoa changamoto ya kuondoa watu wanaostahili kuwepo kwenye sehemu husika.
Kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia ametoa miezi 6 kwa mkurugenzi wa sasa ili aweze kuondoa tatizo hili linalochangiwa na mambo mengi ikiwemo mabadiliko ya hali ya hewa na ukarabati wa mitambo
"Tatizo la kukatika kwa umeme si la mtu, ni letu kitaifa. Kwa hiyo sasa tumejipanga vizuri, tunafanya ukarabati wa hizo mashine, lakini pia tuna mipango mingine ya kujenga substations, kuunganisha mikoa kwenye gridi ili umeme usikatike. Kwa hiyo, nenda kaanzie pale maharage alipoishia. Najua utaweza, nakupa miezi 6, nakuangalia pale TANESCO. Kazi yako ya kwanza kusimamia ukarabati wa mitambo, lakini baada ya miezi 6 nisisikie kelele za kukatika kwa umeme"
Jipya la kuteua na kutengua kila siku!!!Macho mnayo lakini hayaoni, masikio mnayo lakini hayasikii.
Kipofu tutegemee ataona jipya lipi? Kiziwi tutegemee atasikia jipya lipi?
Nchi hii wenye akili hawatakiwi!Ila hajamtendea haki postmaster aliykuwepo kabla ya maharage. Jamaa alikuwa anaenda vizuri na mambo yalikuwa yametulia.