Rais Samia amesema taarifa za mambo yanayofanywa na watendaji ziwe zinaandikwa na kutumwa ili aweze kuelewa vyema wakati wa kutoa maamuzi na kuondoa changamoto ya kuondoa watu wanaostahili kuwepo kwenye sehemu husika
Inapofikia sehemu unaondoa na kufupisha mchakato wa Utumishi wa Umma kukuletea makabrasha, unategemea nini?
Hivi kweli tuamini hukuwa unajua hayo? halafu kuna watu wanaleta vitu kama hivi hapa Jukwaani kudhihaki👇

Unafikiri katika hayo makabrasha angekosa Harage bovu?

Madam President, sijawahi kuku address, Get a Grip!
 


Hivi mabinzi ametokea wapii, maana ghafla bin vuu kawa maarufu tayari.
🤣 😆 😂
 
Kimsingi MC alipaswa apelekwe Sekretariati ya Maadili akawajibishwe na siyo kuhamishwa TANESCO na kupelekwa Posta.

Miiko ya kazi hata kwenye Public Procurement Act hairuhusiwi kufanya biashara na mwajiri UNLESS ume DECLARE interests.

Hizi taarifa za MC kuwa mmiliki wa Call Centre alianza kuzisema Kigogo kwenye mitandao ya jamii.

Mama Samia amefeli PAKUBWA kwa kumbeba Maharage
 
Umefail kwa kila hali!
 
Rais anasema katiba ni kijitabuuuu tu hakana maana yoyote!!Rais anasema mandondo anabiashara zake hapo TTCL watanzania tumedharauliwa kama kondom ,Ile tume ya maadili iko wapi inafanya nini!!aisee inatia kinyaaa yaani
 
Ila hajamtendea haki postmaster aliykuwepo kabla ya maharage. Jamaa alikuwa anaenda vizuri na mambo yalikuwa yametulia.
Haaaa.... hivi hiyo posta SI nayo nasikia, ilipata mwekezaji au ni maneno ya vijiweni😇....? Tuendelee kula mtori aiseee...
 
Kwa hiyo kabla ya kumteua Maharage kuwa mkurugenzi wa TTCL mama hakujua kama ana maslahi, sasa ndani ya siku tatu baada ya kumteua akagundua ana maslahi!

Huyu mama tulipigwa.
 
Rais Samia amesema amemhamisha Maharage Chande kutoka TCCL ili kuondoa mgongano wa kimaslahi kwa kuwa ana biashara na taasisi hiyo.
Kabla ya kumteua kwenda huko, kwa nini hukujua?

Mambo ya ajabu sana haya kusemwa na rais, tena mbele za watu wenye akili! Hii ni serikali, au ni kundi tu la watu wasiojua wanachofanya?
 
Kumbe kabla hakujua kuwa ana biashara TTCL?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…