Maharage hakuona tatizo wakati anapokea uteuzi?
 
Pimbi kabisa huyu.
 
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚ Ni wangapi uliowateua na haujui kama wana maslahi binafsi kwenye taasisi/mashirika uliyowateua??? Aiseee Tanzania hata kichaa anaweza kuwa Rais.
 
Dah! Kuna watu wanamhujumu Mama. Kwa kauli kwamba Maharage anafanya biashara na TTCL hakufaa kabisa kuwa kiongozi wa umma. Posta na TTCL si ni kama ndugu? Maharage angeondolewa kabisa kwenye serikali ili aendelee kuwa mfanyabiashara kama mfanyabiashara.
 
Kauli zake nje ya HOTUBA ya maandishi Huwa ni utata mtupu,

Asee tumepatikana time hii!!
Uamuzi wake wa kutaka kujiuzulu u makamu wa Rais ulipokelewa kwa mikono miwili, ni wazee wachache waliokua na maslahi nae waliombembeleza asijiuzulu, leo tusingekuwa na masaibu haya.
 
Umewahi kusikia umeme umekatika Ikulu?
 
Nimeshtuka sana, kumbe taasisi zetu huwa hazitumi ripoti za utendaji kazi? Kwa maana hiyo ni makosa mangapi yamefanyika pasi kugundulika kama huyo kijana aliyetolewa kimakosa TTCL?
Hiki sasa ndio kitu kimenistua zaid.
Yani sio issue ya performance appraisal wala nini, ni kwamba watu wanapika majungu unachomolewaπŸ˜‚.

JU inaonekana ni selection ya JM. Ukisikiliza matamshi ya JM mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…