Rais Samia: Makamba kwenye nishati atakufelisha! Umeme unakatika mno!

Wapi nimetaja chadema?
Ukizungumzia Mbowe kuwa Rais unamaanisha nini? Sio kila anaekosoa serkali lazima awe CHADEMA! Binadamu lazima uwe na utashi hata kama ni mtu wa chama chako anafanya ujinga lazima umwambie ukweli!
 
Delete mbowe weka lipumba basi haya tuendelee

Tatizo lako unaongea mambo mazito Kwa lugha nyepesi Sana

Unaongea vitu ambavyo ww mwenyewe Huna solutions yoyote
 
Kama unapenda aendelee kuwa waziri sasa unaweza kumbadilisha vizara ila kwa wizara ya nishati kusema kweli ni changamoto kubwa:

Watu wanalia kila kukicha lakini wewe kuna uwezekano hupati taarifa sahihi,ila naomba ujue hali sio nzuri!

Gharama za maisha zimepanda watu wa ofisi ndogondogo kama za saloon na maduka ya vivywaji, kuchomelea, gereji n.k wanaumia sana na kukatika kwa umeme na hii hali inawafanya warudi nyuma!

Kibaya zaidi kumekuwa na ngonjera nyinyi na vizingizio visivyoisha kila kukicha matatizo!
Jana amepeleka waandishi wa habari kwenye bwawa na mwl Nyerere sasa kitu kizuri ila mtaani performance yake bado ni ndogo!

Mimi sina chuki na Makamba ila kwenye nishati kapwaya mbadilishie wizara!.

Asanteh
Umeme unakatika wapi?

Hapa nilipo nimesahau kama umeme unakatikaga
 
kwani kuna kipindi gani au Cha kiongozi gani umeme haujawai kukatika? Acheni majungu yenu!
 
Ukweli msiotaka kuusikia ni kwamba ama mmeshindwa kwa sababu ya uwezo mdogo (uzoefu na taaluma) ama mmewadharau Watanzania, hivyo mnawapandia mtakavyo. Your days are numbered!
Samia kashawajua mna chuki na January, amewapuuza
 
Ni kweli wizara hii haimfai inamfaa Kwa kulamba asali zaidi kuliko ufanisi wa kazi. Ila acha aendelee maana ndio bahati yake
 
Hata ww ukiwa waziri wa hiyo wizara shida itakuwa pale pale,

Tuache malalamiko asubuh asubuh, uko Africa tena third world countries unapiga kelele umeme unakatika?
Hapa Africa karibu Nchi zote zenye uchumi mkubwa (ukiacha za North Africa) zina matatizo ya kukatika umeme .
Screenshot_20220809-081029.png
 
Niko hapa hapa Tanzania umeme unakatika kwa sababu maalum

Lete solutions tusikie, Jf tujadili, usilete siasa Tu na mambo ya kuhisi bila fact, hapa sio Facebook au Badoo
 
Kama unapenda aendelee kuwa waziri sasa unaweza kumbadilisha vizara ila kwa wizara ya nishati kusema kweli ni changamoto kubwa:

Watu wanalia kila kukicha lakini wewe kuna uwezekano hupati taarifa sahihi,ila naomba ujue hali sio nzuri!

Gharama za maisha zimepanda watu wa ofisi ndogondogo kama za saloon na maduka ya vivywaji, kuchomelea, gereji n.k wanaumia sana na kukatika kwa umeme na hii hali inawafanya warudi nyuma!

Kibaya zaidi kumekuwa na ngonjera nyinyi na vizingizio visivyoisha kila kukicha matatizo!
Jana amepeleka waandishi wa habari kwenye bwawa na mwl Nyerere sasa kitu kizuri ila mtaani performance yake bado ni ndogo!

Mimi sina chuki na Makamba ila kwenye nishati kapwaya mbadilishie wizara!.

Asanteh
Mawaziri vijana wawili, nishati na fedha wanaichafua taswira ya urais wa sa100.

Pia tujikite kudai KATIBA mpya itokanayo na RASIMU alosimamia Judge WARIOBA kabla haujaingia Bunge la Katiba.

Ameeeen.
 
Ukijua nani alimweka nani madarakani, hutasema tena kwamba wanamchafua. Chui jike hawezi kusingizia eti anachafuliwa kwa damu ya swala aliyemwinda na kumrarua mwenyewe. Are you dreaming?
 
Namaanisha mkubwa hakosei, km unatunza record vizuri, Mzee wa mamvi aliwajibika kumfunika Mzee wa msoga asichafuke Kwa tuhuma zilikuwa zinaelekezwa kwake.
 
Back
Top Bottom