Rais Samia: Makamba kwenye nishati atakufelisha! Umeme unakatika mno!

Lete solutions tusikie, Jf tujadili, usilete siasa Tu na mambo ya kuhisi bila fact, hapa sio Facebook au Badoo
Usifikiri wote JF tunaishi Dar pia Mimi sio mwana siasa najibu kile naweza kujibu hata ukikuta nimejibu ya siasa, narudia sisi tuna umeme na ukikatika lazima itakuwa NI nchi nzima au mikoa kadhaa au NI tatizo la tulipo baada ya muda tutelezwa sababu tu.
 
Ndugu mteja!

Tafadhali tujulishe ni eneo gani na Wilaya ipi kuna changamoto husika, tafadhali onesha na namba yako ya simu kwa hatua zaidi

Tupo kukusikiliza na kukuhudumia


Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…