PreGE2025 Rais Samia manung'uniko dhidi ya Jeshi la Polisi yamezidi kwa sasa tangu Tanganyika iwepo Duniani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Nina uhakika wa Mungu unajua fika kuwa jeshi la polisi linalalamikiwa sana kuliko miaka yote tangu Tanganyika iwepo duniani.

Mauji ya wananchi, kuonea wananchi and many many other atrocities committed by polisi, bado makubwa yanayotokea mikononi mwa polisi. POLICE BRUTALITY IS AT ITS PEAK

Kubali ukweli ufanye marekebisho yanayohitajika.

Pia soma: Pre GE2025 - Rais Samia: Manung'uniko yalikuwepo ya Jeshi la polisi yamepungua sana
 
file_00000000a19c61f7a8a31c72919aef6b.png
 
Nina uhakika wa Mungu unajua fika kuwa jeshi la polisi linalalamikiwa sana kuliko miaka yote tangu Tanganyika iwepo duniani.

Mauji ya wananchi, kuonea wananchi and many many other atrocities committed by polisi, bado makubwa yanayotokea mikononi mwa polisi. POLICE BRUTALITY IS AT ITS PEAK

Kubali ukweli ufanye marekebisho yanayohitajika.
Kwani familia ake inaumia?
 
Back
Top Bottom